Ushauri Juu ya Kununua UPS.

Ushauri Juu ya Kununua UPS.

Duuh ama kweli common sense is not common,

yani mtu anasema its better kununua ups badala ya kununua battery? sasa wazungu si wangekuwa wanaleta laptop zimefungwa ups.

Laptop yangu inakaa bila umeme kwa masaa manne, then mtu anatoka huko alikotoka anasema ups ni better dhani batri ya laptop?

ukiangalia bei hapo juu jamaa kataja kuanzia laki nne unusu, mpaka 70, betri ya laptop ni 70k, laptop ya bwana HYGEIA hata bei yake inazidiwa na bei ya iyo ups.

mfano unataka kutoka sehemu ulipokaa unahamia sehemu ingine let say chumbani unakuja sebuleni, unabeba ups unatoka nayo au inakuwaje?

tusibishane kwa sababu tunaweza kubishana, tubishane na facts.

mimi nimezungumzia kuhusu bei, portability, na hata utunzaji wa chaji.

nyie mnaobisha badala ya kumshambulia mtu, shambulia hoja yake with facts.
 
Last edited by a moderator:
Sasa wataalamu wangu, kwa mawazo yangu,nimeonelea ninunue UPS ili niepukane na adha hiyo.Je wazo langu ni sahihi na je ni zipi specifications muhimu za ups inayonifaa?

Ni hayo tu wataalamu wangu naomba msaada wa ushauri.

Laptop yangu ni HP 530 Notebook

grafani11 mkuu HYGEIA hajui anataka nini. soma nilivyomquote. kaomba ushauri sababu yeye ana wazo la kununua ups, kaomba asahihishwe kama wazo lake haliko sawa. sasa wewe unasema namlazimisha sikuelewi. soma hapo laptop yake, ni ndogo,

mpe ushauri kwanini anunue ups, mimi nimemwambia anunue betri niktoa na sababu zangu. sijasema ups ni kwa ajili ya desktop ila nikwa ajili ya vifaa visivyoweza kutunza umeme. laptop ikiwa na betri nzuri inaweza kutunza umeme muda mrefu tu.

lakini vile vile, maana ya laptop ni uwe na uhuru kumove nayo mahali popote, otherwise itakuwa desktop. ukiweka ups maana yake laptop itakaa pale ilipo ups,

vilevile ukiangalia bei zake, utaona tofauti kubwa.

mwisho mtu anaeomba ushauri halazimishwi kuuchukua, yeye ndo ana maamuzi ya mwisho.

(nisamehe kama nimekukwaza mahala kwenye mabandiko yangu, na kumbuka kutangulia si kufika nikimaanisha hata kama ulikuwepo wakati intanet inaanza haimaanishi unajua kila kitu)
 
Last edited by a moderator:
mimi nilisema UPS ni kwa ajili ya desktop lakini nimekubali kusahihishwa.
 
Back
Top Bottom