Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
Pole sana mkuu uwe una save kwenye Tigo pesa......huyu mke wako nimwizi hawezi kuacha hiyo tabiaJaman wana JF. Naombeni ushauri juu ya kuweka pesa kidogokidogo kwa ajili ya malengo niliyojiwekea.
Nilianza kufanya hivyo tangu mwezi August 2018. Sasa nakuja kuangalia jana pesa zilizokwepo ni kidogo tofauti na matarajio. Yaani nilitegemea kupata Milion na kitu sasa nimekuta laki 6 tu.
Baada ya kumbana mke wangu vyema amekiri kuwa aliwahi kutoa tu elfu 40 kwa kubana na sindano ya nguo japo mwanzo alikuwa anakataa. Lkn inaonekana mdogo wake ndo kafanya hizo mishe baada ya kumuona dada yake anachukua pesa kwa staili hiyo japo ninapomuuliza ananijibu kimkato Sana.
Sasa Faida ya Kibubu sijaona Bado. Yaani ni Cha chuma lakini still mtu anatoa pesa hasa za noti.
Ushauri wenu tafadhali namna ya kusave pesa au Kama Kuna Design fulani ya Kibubu ambacho mtu hawezi kutoa pesa ikiingia kwa maana ya mtu wa ndani sio mwizi. Tafadhali mnisaidie yaani laki tano nimeibiwa na hapa nawaza namna ya kumrudisha mke wangu kwao walao akakae wiki 3 Halafu arudi tena. Asanteni
Kwenye Tigopesa tunakimbia makato ya miamala!!!!Pole sana mkuu uwe una save kwenye Tigo pesa......huyu mke wako nimwizi hawezi kuacha hiyo tabia
Saaaaafi kabisa kwa kuweka akiba!!!Jaman wana JF. Naombeni ushauri juu ya kuweka pesa kidogokidogo kwa ajili ya malengo niliyojiwekea.
Nilianza kufanya hivyo tangu mwezi August 2018. Sasa nakuja kuangalia jana pesa zilizokwepo ni kidogo tofauti na matarajio. Yaani nilitegemea kupata Milion na kitu sasa nimekuta laki 6 tu.
Baada ya kumbana mke wangu vyema amekiri kuwa aliwahi kutoa tu elfu 40 kwa kubana na sindano ya nguo japo mwanzo alikuwa anakataa. Lkn inaonekana mdogo wake ndo kafanya hizo mishe baada ya kumuona dada yake anachukua pesa kwa staili hiyo japo ninapomuuliza ananijibu kimkato Sana.
Sasa Faida ya Kibubu sijaona Bado. Yaani ni Cha chuma lakini still mtu anatoa pesa hasa za noti.
Ushauri wenu tafadhali namna ya kusave pesa au Kama Kuna Design fulani ya Kibubu ambacho mtu hawezi kutoa pesa ikiingia kwa maana ya mtu wa ndani sio mwizi. Tafadhali mnisaidie yaani laki tano nimeibiwa na hapa nawaza namna ya kumrudisha mke wangu kwao walao akakae wiki 3 Halafu arudi tena. Asanteni
Usirudie hilo kosa bwana mkubwa.Jaman wana JF. Naombeni ushauri juu ya kuweka pesa kidogokidogo kwa ajili ya malengo niliyojiwekea.
Nilianza kufanya hivyo tangu mwezi August 2018. Sasa nakuja kuangalia jana pesa zilizokwepo ni kidogo tofauti na matarajio. Yaani nilitegemea kupata Milion na kitu sasa nimekuta laki 6 tu.
Baada ya kumbana mke wangu vyema amekiri kuwa aliwahi kutoa tu elfu 40 kwa kubana na sindano ya nguo japo mwanzo alikuwa anakataa. Lkn inaonekana mdogo wake ndo kafanya hizo mishe baada ya kumuona dada yake anachukua pesa kwa staili hiyo japo ninapomuuliza ananijibu kimkato Sana.
Sasa Faida ya Kibubu sijaona Bado. Yaani ni Cha chuma lakini still mtu anatoa pesa hasa za noti.
Ushauri wenu tafadhali namna ya kusave pesa au Kama Kuna Design fulani ya Kibubu ambacho mtu hawezi kutoa pesa ikiingia kwa maana ya mtu wa ndani sio mwizi. Tafadhali mnisaidie yaani laki tano nimeibiwa na hapa nawaza namna ya kumrudisha mke wangu kwao walao akakae wiki 3 Halafu arudi tena. Asanteni
ShukranUsirudie hilo kosa bwana mkubwa.
Hivi unadhani mkeo ana kazi gani kama sio na kukutunzia pesa ikiwa ni yake kama vile anavyokutunzia sehemu zako za siri?
Mpe mchawi alee mwana.mkeo hapo ndo kacheza dili nae na hyo ni kwa sababu ulimtenga japo kudokoa inaweza kuwa tabia yake.
Kaa na mkeo,hakikisha mkeo ndio mtu wa kwanza kushare naye mambo kama hayo mkuu.
Ifikie hatu mkeo aone kwamba akiiba pesa zako basi anajiibia mwenyewe.zako zake zake zako=ZENU.
mimi pesa za kutunza kama hivyo naweka kwenye akaunti ya tigo pesa ya wife na wife analijua hilo jambo na nikimuambia tutoe pesa tununue kitu fulani huwa anaona ubakhiri kwa sababu anajihisi ni sehemu ya pesa hizo na anaona tabu mara huniambia "tusubiri tupate zinginee hizi tuziache" huyo ndo mke anakuwa imaara katika kutunza pesa zenu.
Wewe anza kukaa na mkeo kwa ustaarabu mueleweshane na mpaka ifike hatua aone pesa zako naye ni zake.
Japokuwa UNAWEZA UKAWA NA PESA ZAKO PRIVATE NA DHARURA KWENYE AKAUNTI YAKO YA BENK N.K SINA MAANA KWAMBA PESA ZOTE UMUONYESHE MKEO HAPANA.LAZIMA UWE NA KAPRIVACY KAKO WAZEE WAKIOMBA YA SUKARI UNAMALIZANA NAO KIMYA KIMYA SIO mpaka ukamuambie mke kwamba wazee wanataka sukari laa.
Bali kiasi cha kusave kaa na mkeo mjadili bhana.sio awe anaona tu mambo ndani na humshirikishi hapana.
Lol [emoji849]Kibubu sio njia salama siku hizi, kuna wengi wanavituhumu kuhusika na 'chuma ulete'..... so hapo kuna uwezekano mkubwa ikawa hivyo au huyo 'wife' ambaye kakiri au mdogo wake (unajua tabia zao na mazingira yenye unaishi).
Bongo nyoso mkuu, mi siamini kibubu wala vidroo vya kando ya kitanda (Bed Sides), siku hizi hadi Wallet kuwa nazo makini sio unakutana tu na Mmasai kisa anauza bei chee.Lol [emoji849]
Peleka equity wana account za vibubu style wewe unakua unaweka tu mpaka siku yako ya kutoaJaman wana JF. Naombeni ushauri juu ya kuweka pesa kidogokidogo kwa ajili ya malengo niliyojiwekea.