Sawa ngoja niangalieKanunue tcl kama hela mzozo.. Hiyo boss utakuja kulia
Duh!Nilinunua samsung LED inch 40 mwaka 2012/13 kwa bei ya milioni 1.2 mpaka leo ni kama mpya haijawahi kuwa na tatzo lolote...
Nachopendea haya ma t.v ya brand kubwa ni durability plus quality... Unaweza nunua boss kwa 500000 ila baada ya miaka 5 ukawa umetumia million 4 kubadili brand za kichina TCL to boss, boss to singsung , singsung to Mohamed and so on... Yani sawa na simu za tecno tu
Jamaa naona ameshadhamiria kununua bossKanunue tcl kama hela mzozo.. Hiyo boss utakuja kulia
Nmeona mkuu.. Si unaona ame foregone comments zoteJamaa naona ameshadhamiria kununua boss
Star x 43" ni mbayaaaaaaaaAisee brand from china inayoeleweka kwa sasa ni TCL, juzi hapa nimeletewa tv mbili inches 43 aina ya star X eeh bwana wee quality ya picha mbovu aisee samsung na Lg ni nyoko.
Sema kwa mtu ambaye si mjuzi wa mambo haya ataoja picha iko poa sana ila kwa anayejua ataona kabisa picha haziko clear compared na lg au samsung
Umekwishaitumia mkuu, yani picha yake ni mbayaa kama inachenga chenga na iko blured yan ina noiseStar x 43" ni mbayaaaaaaaa
Nchi 55 sh ngp nduguMimi ninayo Kama Hiyo pichani nchi 55'' iko poa na inaonesha picha vizuri sana, kwa kifupi ni nzuri sana na Kama una kingámuzi chenye picha za HD unaweza usitoke ndani, naenjoy sana kuangalia movie na Mpira.
Nilitumia asee wakaja kuvunja geto wakaiba... now bora tclUmekwishaitumia mkuu, yani picha yake ni mbayaa kama inachenga chenga na iko blured yan ina noise
Tcl iko poa sana na ni brand ya muda sana kuna movie moja ya don yen utaona ofisi zao wakati ana cruise mjini hong kong na ni movie ya zamani kweli.Nilitumia asee wakaja kuvunja geto wakaiba... now bora tcl
Kidogo najua hii picha sio quality na hii ni quality, so nilijua nimeingia cha kike...! TCL USA huko anauza sanaTcl iko poa sana na ni brand ya muda sana kuna movie moja ya don yen utaona ofisi zao wakati ana cruise mjini hong kong na ni movie ya zamani kweli.
Ila wakat waitumia kabla ya kuhamia tcl ulikuwa usha notice kuwa haionyesh poa au ulikuja notice baada ya kununua tcl