Ushauri juu ya Flat TV za Boss,

Ushauri juu ya Flat TV za Boss,

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,870
Reaction score
2,122
Habari ndugu, nahitaji kununua Boss Flat tv 55 inches naomba ushauri kwenu kama zinafaa au hazifai.
Asante..
Screenshot_2018-04-17-23-44-43.jpg
 
Yah ngoja Tusubiri, Watumiaji waje, Mimi pia nina mpango huo
 
Ungeweka na budget yako kwanza

Ila kwa ushaur mzur ni bora ununue brand kubwa ndio zenye customers support nzur.. Naongelea LG, samsung, Sony na kidgo TCL kwa low budget anakufaa
 
Ungeweka na budget yako kwanza

Ila kwa ushaur mzur ni bora ununue brand kubwa ndio zenye customers support nzur.. Naongelea LG, samsung, Sony na kidgo TCL kwa low budget anakufaa
Zina Matatizo Kiufundi au zina wateja wachache bado?
 
Mimi ninayo Kama Hiyo pichani nchi 55'' iko poa na inaonesha picha vizuri sana, kwa kifupi ni nzuri sana na Kama una kingámuzi chenye picha za HD unaweza usitoke ndani, naenjoy sana kuangalia movie na Mpira.
 
Ninayangu hapa imekufa kioo ghafla tu ni inchi 32, kuna mwengine pia imemfia kwa staili hy hy, unaizima usiku unaenda kulala asubuhi unaamka unawasha hola, unampelekea fundi anakwambia imekufa kioo
Ss sijui labda hizo za inch 55 hazina hayo maringo
 
Ushaskia TV yenyewe inaitwa Boss unatarajia nini?

Ushauri wangu wa bure: HAZIFAI.
 
Nunua, ziko vizuri, mine has been going strong ni mwaka wa 3 sasa. Nashauri ununue from a reliable vendor sio briefcase machinga ili uhakikishiwe after sales service na warranty kama kawaida ya ununuzi wa domestic appliances. Best wishes
 
Asante, Miaka Mitatu, Ishaendelea haki hiyo ngoja nivute
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Similar Discussions

Back
Top Bottom