FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,106
- 2,789
kwa upande wangu nilinunua hili bati ambalo kwa nilipo alaf wanauza 39500, ni bati zuri ila kama una mfuko mrefu chukua ile ya kigae ina muonekano maridadi.je nikichukua migongo mipana geji 30 linafaa kwa upauaji?
Asante kiongozi kwa ushauri nitazingatia.Kigae balaa bei yake aisee upande wa Alaf.Itabd nikae humo humo migongo mipana.kwa upande wangu nilinunua hili bati ambalo kwa nilipo alaf wanauza 39500, ni bati zuri ila kama una mfuko mrefu chukua ile ya kigae ina muonekano maridadi.
Shukran mkuu kwa nilipo itabidi ni deal na mawakala tu sipo dsmHiyo 30G ni nzuri tu..chukua hiyo...nenda kiwandani kaweke order yako
Bei ya bando ni 600k zinakaa bati 16pcs Alaf max cover 30G. Ni nzuri mno hazipauki haraka havizuji upate fundi mzuri tu.Shukran mkuu kwa nilipo itabidi ni deal na mawakala tu sipo dsm
bati yoyote ilipata fundi mzuri haivujiAsante kiongozi kwa ushauri nitazingatia.Kigae balaa bei yake aisee upande wa Alaf.Itabd nikae humo humo migongo mipana.
Vipi swala la kuwa yanawahi kuvuja kwako hujalipitia tangu uliponunua?
Sawa kiongozi.Shukran kwa kushare uzoefuBei ya bando ni 600k zinakaa bati 16pcs Alaf max cover 30G. Ni nzuri mno hazipauki haraka havizuji upate fundi mzuri tu.
bati yoyote ikipata fundi mzuri haivuji
Kama unataka kitu ambacho hata mjuu atakuja kukusifia kwa kazi bora basi funga za geji 28. Kama unataka nunua kwa jumla nenda kiwandani kabisa.Salaam kwa wanajukwaa.Naamini tuko poa kabisa.
Kwenye mada hapo naombeni ushauri juu ya geji ya bati ya kupaua kutoka kampuni ya Alaf.
Nimezunguka kwenye maduka nakutana na za geji 30 tu hizi ni zile migongo mipana ( Cover max). Kila nikiulizia geji 28 naambiwa ni kwa oda maalum na wanakiri hzo n kwa ajili ya majengo ya serikali.
Bei zipo kama ifuatavyo.
Cover max geji 28 70000/= kwa bati la ft 10.
Cover max/Resincoat geji 30 ni 42000 kwa bati la ft 10
Muundo wa kigae 78000/= hili n geji 28 tu linapatikana.
Kwa mliopaua na wajuvi wa mbati naombeni ushauri je nikichukua migongo mipana geji 30 linafaa kwa upauaji?.
Mbarikiwe. NB nipo mkoani na bei zimechangamka maana kwenye tovuti ya alaf naona bei n nzuri mfano geji 28 migongo mipana ni 51500 tu.
Karibuni kwa ushauri
Nimekusoma kiongozi wacha nijikusanye mdogo mdogo nikabebe za 28g.Kama unataka kitu ambacho hata mjuu atakuja kukusifia kwa kazi bora basi funga za geji 28. Kama unataka nunua kwa jumla nenda kiwandani kabisa.
NB: Rahisi ni gharama.
Kigae pia inataka mbao nyingi ujue.kwa upande wangu nilinunua hili bati ambalo kwa nilipo alaf wanauza 39500, ni bati zuri ila kama una mfuko mrefu chukua ile ya kigae ina muonekano maridadi.
Ndio, kizuri kina gharamaKigae pia inataka mbao nyingi ujue.