dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Mi ninachujua kuna macro na micro reasons za kuwaweka wadumu
kubwa kuliko yote ni mambo haya matatu PESA,PESa na PEsa ukiyazingatia hayo matatu hatakuacha hata katika siku za uzee wako.Zingatia huo ushauri mwangu nawe utaona urafiki wenu utakavyositawi bila maji,mbolea wala palizi.
Dah, jamaa kaomba keki wewe umempa kachumbari....
Anadai huwa anakinai mahusiano haraka. Mpe ushauri nini afanye ili asiendelee kuwaumiza moyo wadada?
Dah naona umeamua kumchana ila poa tu ushauri safiiiiiiiii...!!!!1. Hujui unachotaka kwa maana aina ya mwanamke unayempenda
2. Huridhiki na ulichonacho kwasababu hujui unachotaka
3. Ushenzi tu wa tabia ya kuchovyachovya sababu huridhiki kwa kutojua unachotaka
4.Mbinafsi
Naamini hulka yako itakuwa miongoni mwa hayo niliyotaja hapo juu.Ungetaja sababu specific ambazo huwa zinakufanya uachane nao ndio ungepata ushauri mzuri zaidi.
1. Hujui unachotaka kwa maana aina ya mwanamke unayempenda
2. Huridhiki na ulichonacho kwasababu hujui unachotaka
3. Ushenzi tu wa tabia ya kuchovyachovya sababu huridhiki kwa kutojua unachotaka
4.Mbinafsi
Naamini hulka yako itakuwa miongoni mwa hayo niliyotaja hapo juu.Ungetaja sababu specific ambazo huwa zinakufanya uachane nao ndio ungepata ushauri mzuri zaidi.
Aiseee1. Hujui unachotaka kwa maana aina ya mwanamke unayempenda
2. Huridhiki na ulichonacho kwasababu hujui unachotaka
3. Ushenzi tu wa tabia ya kuchovyachovya sababu huridhiki kwa kutojua unachotaka
4.Mbinafsi
Naamini hulka yako itakuwa miongoni mwa hayo niliyotaja hapo juu.Ungetaja sababu specific ambazo huwa zinakufanya uachane nao ndio ungepata ushauri mzuri zaidi.
Mapenzi na uvumilivu ndo vinafanya watu wakae,ukipata tatizo usichukulie kuachana kama option,SOLVE IT...
Unamchukulia mwanamke kama wa starehe,na unapotengeneza mahusiano huwa haui na malengo ya mahusiano hayo yaani unakuwa na mpenzi ili uonekane kama una mpenzi au tamaa za kimwili zikikuzidi.
Unatamani maungo ya mwanamke zaidi ndiyo maana baada ya kuyaona na kuyatumia haja yako inakuwa imeisha.
Aina ya marafiki ulionao yawezekana wanastaili kama yako hivyo mnajikuta ndo tabia yenu ninamin kama ungekuwa na marafiki wanaodumu kwenye mahusiano yao na wewe pia ungeiga maana nao wanamchango wao
Ushauri:
Tafuta marafiki wenye mtizamo chanya kwenye masuala ya ndoa hiyo itakusaidia kutafuta mwanamke kwa malengo na si kwa starehe,kawaone wanasaikolojia labda kuna kitu kinakusumbua waeleze bila kuficha kitu watajua shida yako.
Si kila kugombana au kutofautiana katika mahusiano kuna maana ya kuachana mnaweza msiongee hata wiki nzima mkasuluhisha yakaisha
Kama ni mkristo tafuta msaada wa maombi
pole sana jibu ni moja tu chagua kitu ambacho haupo tayari kukipoteza sio born mwanamke pia weka nia na malengo
Me mwenÿako mwaka wa 4 ss yani ww hata tumiezi hakuna!! huh!
kuwa mvumilivu mkuu halafu mkubali kwa dhati.
Via safarini kumfuata niliyedumu naye miaka 4 na hatujaonana muda sn,tangu mwaka jana mwezi wa 8