Ushauri: Je, nimlipie kodi ya chumba huyu mpenzi wangu?

Mr Extrovert Kuna wale wadada au familia zile Zina njaa ya hela hatari unaweza piga maza, watoto wote sita na housegirl ukahamia mashangazi wanapenda hela Kama MAJINI Malinda pesa...hawanaga ustaarabu...Kuna wale wengine ukishakuwa mcheshi Kama haji manara au joti aiseee hawakawii KULETA mme ndani na wakakutambulisha kuwa huyu Ni baba mdogo
Sijui niseme siri zangu za zamani?
 
Kama haji manara au joti aiseee hawakawii KULETA mme ndani na wakakutambulisha kuwa huyu Ni baba mdogo
Kaka Mshana Jr Kuna zie stori zako nikikumbuka lazima nicheke
1.meditation makaburin halafu ukaseti mlio wa paka kwenye simu
2.Joka feki vs mdada mla pesa za watu
3.kupiga mashoot mochwari
 
Back
Top Bottom