Ushauri jamani

Haya ndugu yangu.

Mkuu unaposema haya unamaanisha nn??Utayafanyia kazi,umefarijika kusikia hivyo?/,au bora amesema??hebu tupe 'your way forward baada ya 3 pages za ushauri!!!!au bado hujapata hata moja??:cheer2:
 
waswahili hawakukosea waliposema tenda wema uende zako.......... ilikuwa ili usijiulize maswali mengi au usitarajie malipo mema kwa kutenda mema kwani mwisho wa siku utajipa msongo wa mawazo bure..... tupa kureeee ,piga maisha yako mkuu. pole sana
 
Mkuu unaposema haya unamaanisha nn??Utayafanyia kazi,umefarijika kusikia hivyo?/,au bora amesema??hebu tupe 'your way forward baada ya 3 pages za ushauri!!!!au bado hujapata hata moja??:cheer2:

Mkuu nafarijika na ushauri ambao wadau wanautoa na umekuwa na mtazamo chanya kwangu. Nazidi kuwashukuru wachangiaji(washauri) wote na ushauri wao mpaka sasa nimeanza kuufanyia kazi.
 
Ukitaka kujua tabia halisi ya mtu, mpe pesa. Huyo hajawahi kukupenda kwa dhati. Alipenda pesa zako tu! Pole. Unaweza kuishi bila yeye, hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanyiwa hivyo na mwanamke. Fungua ukurasa mpya na endelea na masisha yako. Ukiendelea kung'ang'ania utakuwa unazidi kupoteza muda zaidi, pesa zaidi na utachoambulia ni maumivu ya moyo zaidi! Pole ila ndio ukubwa huo.
 
Ukitaka kujua tabia ya mtu mpe hela, alikuwa mnyenyekevu kwasababu hakuwa na kitu, piga moyo konde kwani umepoteza vingapi?
 
mwanamke ni kiume dhaifu...akiiinuka kidogo hujiinua...vibaya...daah hapo kaka kama vipi na wewe upotezeee tu...yan hamna jinsi..ila ulizingua hadi school feees wakati wewe sio baba watoto? daaaah...mapenzi noma....
 
Ndugu yangu mimi niliamini kwamba nahudumia my family to be.
 
Songa mbele! Hesabu hiyo pesa yako kama sadaka! Usilazimishe mapenzi!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…