Pole sana mkuu kwa hiyo changamoto ...
Nashindwa kuchangia sana maana umesema kuwa mgogoro ulianza baada ya yeye kuanza kumiliki pesa nyingi. Ktk hali ya kawaida ni vigumu mtu kubadilika kwa kupata pesa pekee yake, lazima kutakuwa na chanzo halisi cha tatizo maana inaweza kuwa hata umiliki wake wa pesa nyingi kwa upande wako umekuwa tatizo na kukufanya ujijengee hali ya kujidharau au pengine kuona unadharauliwa.
Hebu kaa chini na jaribu kuchunguza chanzo cha tatizo bila kufikiria suala la yeye kumiliki pesa nyingi ...
Kwa sehemu nafahamu mabadiliko ya kisaikolojia yanayoweza kumpata mwanaume aliyekuwa na uwezo mkubwa kuliko mpenziwe mambo yanapogeuka na yeye kuwa na kipato cha chini kuliko mpenziwe ...!
Ni vizuri kujiassess na yeye; lkn nikiangalia jinsi gani watu hubadilika pindi wapatapo pesa naweza amini aisee.
Angalia wababa wangapi waliozisaliti ndoa zao baada ya kupata pesa na kuona huyo mwenzi wake sio class yake tena.
Kina dada nasi tumo, unakuwa na mtu kwakuwa anakutimizia mahitaji yako lkn haumpendi sana kiasi kwamba ukiweza simama kwa miguu yako mwenyewe umuhimu wa huyo mtu unakuwa haupo tena.
Mkaka akubali yaishe, akijifanyia analysis sana ndipo anaweza akajiona inferior; ni bora amuone mwanamke opportunist na kwamba she is not worth his love!

Kuna baadhi ya commitments sio vizuri kufanya kabla ya ndoa..matokeo yake ndo uchumba ukifail inakuuma zaidi unaishia kulaumu na kutukana..!!!
Kuna mwanamke nilimpenda sana na tukapeana ahadi ya kuoana, baada ya makubaliano hayo alikuwa na mtoto nikaamua kumsomesha kwenye shule ya English medium karo zaidi ya milioni moja na mtoto huyo sasa mwaka huu atakuwa darasa la sita. Mgogoro katika mahusiano umeanza baada ya yeye kuanza kumiliki hela nyingi za kwake. Kipindi nampata alikuwa mnyenyekevu sana, mwenye upendo na utii usio wa kawaida kwangu. Kwa sasa siko karibu naye nikipiga simu hata hapokei kabisa. Jamani mimi nifanyeje?
Na mimi nina mtoto, kama hutajali nisomeshee Mungu atakulipa kwa wema wako. Sio lazima tuoane au tuwe wapenzi. plz
Dalili ya mvua ni mawingu shukuru Mungu kakuonesha mapema, Mungu alikutumia tu kama daraja ili umvushe yule mtoto sasa utumishi wako umetosha anataka kukupatia wa kwako aliye nyama ktk nyama zako na mfupa ktk mifupa yako,ww songa mbele tena bila kinyongo ili baraka yako uipokee kikamilifu.
ndo maana siku hizi machangudoa wanasoko, unafanya mambo yako ukumaliza unachapa lapa, pole ndugu yangu, waswahili wanasema what goes aruond comes around, ipo siku atakutafuta nawe utamwingiza mjini