Ushauri jamani

Dr Dre

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
2,669
Reaction score
2,855
kama kichwa kinavyosema
nimedahiliwa udom "bachelor of Software Engineering "
pamoja na ARDHI "bachelor of science in Geomatics " jamani niende ipi apo
chondechonde naomba ushauri wako ndugu yangu
 
As a software engineer, sikushauri ukasome software engineering.

Kwa kuuliza tu swali hili, software engineering is not for you.

This is a field that you have to be in by choice and not by chance.
 
As a software engineer, sikushauri ukasome software engineering.

Kwa kuuliza tu swali hili, software engineering is not for you.

This is a field that you have to be in by choice and not by chance.
out of kupenda course from inside ,ni ushauri gani wawezampatia mtu anayetaka kuchagua moja ya hizo course apo in case of market na vitu vingine kama hivyo " nijibu please
 
out of kupenda course from inside ,ni ushauri gani wawezampatia mtu anayetaka kuchagua moja ya hizo course apo in case of market na vitu vingine kama hivyo " nijibu please
Kinachokusumbua katika kufanya maamuzi sahihi, no hiyo poor mentality ya kusema Market? Market ya nini? Badilisha mtazamo ndugu, nenda ukasome uje kuajiri vijana wa Diploma, Certificate, Form Six, Form four na Darasa LA Saba. Unawaza ajira haujaanza na chuo?
 
daah sawa mkuu nimekuelewa
 
nashukuru kwa mawazo yako
 
Achana na akili za kusema market .. Ila pia kwa ushauri wangu soma geomatics ukihitaji ushauri zaidi ya hapa nitafte sasa
 
kasome software engineering coz ni rahisi sana kujiajili......sio kama geomatics ..haina haja ya kuwapigia magoti wadau .....unaeza ukafanya mambo yako hata ukiwa ghetto at any time
 
kama kichwa kinavyosema
nimedahiliwa udom "bachelor of Software Engineering "
pamoja na ARDHI "bachelor of science in Geomatics " jamani niende ipi apo
chondechonde naomba ushauri wako ndugu yangu
Software mkuu kwa baadae ina ishu sana huku tunakoelekea inalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…