Ushauri jamani

Ushauri jamani

janikilaj

Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
19
Reaction score
5
Nina GPA 2.8, accountancy, niliapply kabla new GPA haijawekwa ya 3.0, nyumbani wananiona sifai hadi ninatamani kujiua ninapenda kuendelea na elimu ila kadri siku zinavyoenda ninazidi kuwaza sana na yote hayo sina hata kazi nifanyeje?
 
ACHA MIHEMKO UKIINGIA KWENYE PROFILE YAKO WANASEMAJE
 
Nina GPA 2.8, accountancy, niliapply kabla new GPA haijawekwa ya 3.0, nyumbani wananiona sifai hadi ninatamani kujiua ninapenda kuendelea na elimu ila kadri siku zinavyoenda ninazidi kuwaza sana na yote hayo sina hata kazi nifanyeje?
Pole sana mkuu usikate tamaa
 
Nina GPA 2.8, accountancy, niliapply kabla new GPA haijawekwa ya 3.0, nyumbani wananiona sifai hadi ninatamani kujiua ninapenda kuendelea na elimu ila kadri siku zinavyoenda ninazidi kuwaza sana na yote hayo sina hata kazi nifanyeje?
Kujiua sio suluisho pambana ndo maisha kila mtu Ana changamoto zake apa duniani.... Pole kwa yote
 
Dah, pole sana ndg. Cha msingi vumilia tu kwa kipindi hiki kigumu then baadae utafute ajira au njia ya kupata ada alafu uanze tena diploma kwa kozi nyingine, ukimaliza diploma unaweza ukaaply bachelor na ukaendlea na accountancy ... Cha msingi usikate tamaa na umshukuru mungu kwa ulichokipata kwa7bu kuna wengine hawakufanikiwa kupata hata hiyo GPA uliyopata.. Kama una malengo na nia, usiogope kuanza upya coz hata waswahili walisema kuanza upya si ujinga.
 
Daah haya maumivu yaskilizie qwa jirani...yakikupata....Duuuuuh acha tuuu... Komaaa kijana kwanjia yoyote ile maisha sio degree
 
Back
Top Bottom