Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu

puppa

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
379
176
Hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na msichana niliyemtoa bikra, anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake.

Roho inauma sana sina raha wala amani, wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila nikijaribu kusahau nashindwa halafu kesho naenda chuo full mawazo tu.kutendwa kunauma sana.

Naombeni ushauru jamani niweze kuishinda hii hali.
 
hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na demu niliyemtoa bikra,anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake. roho inauma sana sina raha wala amani,wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila nikijaribu kusahau nashindwa halafu kesho naenda chuo full mawazo tu.kutendwa kunauma sana
naombeni msaada jamani niweze kuishinda hii hali

Huna pesa na boom umekosa..
 
Mkuu hebu tafuta mwingine atatoka kichwani fasta lakini ukibaki bila kupata papuchi ya kuzungia mbona ugonjwa wa moyo unakuita
 
demu Al shabab huyo kakuchana live kuwa huna pesa bora angekuzuga tu,
mwambie ukipata pesa utamtafuta
 
hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na demu niliyemtoa bikra,anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake. roho inauma sana sina raha wala amani,wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila nikijaribu kusahau nashindwa halafu kesho naenda chuo full mawazo tu.kutendwa kunauma sana
naombeni msaada jamani niweze kuishinda hii hali

Dogo unaomba msaada gani sasa hapa, unataka wanaume tukuhonge ili ukamhonge huyo demu wako au tukupe msaada gani:eek:
 
Hivi Kwan mwanamke n yy Tu hebu tengeneza maisha yako watakuja tu

Dada nimekupenda bure kwa point yako, engineers tuna hile don't care mbona mwenyewe atafurahi tu na roho yake lakini ukijitia mimi sijui ndio wewe tu hakuna mwingine unajitafutia maradhi ukalazwe bure
 
Ulimtoa bikra ya wapi???
a) Kibanda cha mkaa
b)Mombasa gomzi

Je, ulimtoa huko mpaka hapo kwa usafiri gani?
 
Jibu unalo mwenyewe toka ndani katafute pesa au kaa ndani jifungie wenye mihela yao waendeleze ujenzi ulipoishia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom