Ushauri jamani naisi mimeshindwa

Ushauri jamani naisi mimeshindwa

ZZ yani kipengele hicho unakipenda weyeeee..
Kwa wasaa wa umma huu tiba ya upweke ..... Lakini kwa mawazo finyu yanatia dhiki na mhememko moyoni !! Babu alikuwa nao mikoa mitatu !! akaja baba kwa shughuli zake akaanzia pwani na kuishia ziwani !! masikini mie....mla chips!!
 
Sawa Mwajuma.

Hujambo lakini? Sijawahi kuwa na rafiki aitwaye mwajuma. Unaonaje ukiwa wewe?



sijambo.

kisa we asprin kila mgonjwa lazima akumeze!! aahhhk wengine tuna ulcers . haya rafiki yangu asprin.


family matters needs mazungumzo ya tofauti na unavyoamrisha wafanyakazi
namshauri mtoa mada azungumze na bibie kwa kina nakumu elewesha short term and long term effects za wao kuishi mbali kwa miaka yote hasa katika kujenga familia bora na yenye aman na furaha.

nampongeza mtoa mada kwa uvumilivu na busara ya hali ya juu asikate tamaa shetan anataka kumjaribu nakuharibu aman ya ndoa yake yenye aman naamin mtapata suluhisho la pamoja .

ikiwezekana mke achukue mkopo maximum kule aliko nawewe halafu mfungue biashara dar muiendeleze ikianza kulipa aombe uhamisho navisingizio ambavyo haviepukiki wakimnyima asepe zake aje kusimamia biashara ukitaka kumrishisha hyo biashara muandikishe yeye kama mmiliki iwe ndo kazi yake usimfatefate kwakuwa mikopo ya banki ina bima akiacha kazi no kufungwa.

nafeel pain ya mtoa mada
 
Endelea kuvumilia kwa kipindi hicho kigumu, ila mkipata mnachotafuta mwache kazi mfanye yenu

Ila punyeto acha.
 
Endelea kuvumilia kwa kipindi hicho kigumu, ila mkipata mnachotafuta mwache kazi mfanye yenu

Ila punyeto acha.

Mwajuma,

Mi nimesoma hapo juu tu. Kuanzia para ya family matters kushuka chini hainihuu....

Kwa mustakabali huu nakusubiri PM ili tuuweke urafiki wetu katika mstari ulionyooka. Usiogope kunimeza Mwajei tafazali. Sina madhara kiviile

Sorry niliintend kumjibu mwaj waukweli
 
Last edited by a moderator:
Naamini awezi kuwa na mchepuko kwani ni mtu wa mungu na siku zote yupo wazi kwangu ila tatizo umbali ndio naona kero kwangu na kazi amekaa miaka 3 toka amalize chuo hakupata sasa iyo kaipata ni kama bahati kwake na ina lipa vizuri

Bas endeleeni kukaa hvyohvyo, maana kaz kwenu ndio muhimu kuliko ndoa yenu.. !!Siku mtapoona umuhimu wa ndoa yenu bas mmoja atamfuata mwenzie.. Mna hatari kubwa
 
duh kiukweli una moyo lakini hapo jibu ni kufanya maamuzi magumu mkeo aache kazi aje kwako.
 
Riziki anatoa Mungu ni bora uamue tu wife akufuate ulipo muendeleze maisha. You never know huenda ukafanikiwa zaidi kimaisha, all the best buddy
 
Wewe ndiyo kichwa cha familia. Toa mamuzi kama aache kazi aje atafutie ulipo au muendelee hivyo hivyo lakini kila mtu afanye mambo yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom