TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,592
Si lazima afanye kazi aliyosomea,anaweza kujitolea hata kufundisha kwenye shule za kata huku akiwa anatafuta kazi zingine.
[/QUOT]
Halishaenda akaambiwa hela ya kumlipa hakuna na wazazi wamekatazwa kuwachangisha wanafunzi.
Afanyeje ss ??Hali si hali, asipoteze muda kwenda kwa waganga kuna maninja wana masters na bado wanasugua benchi.
Ajira za kuzunguka kwenye viyoyozi hakuna.
Yupo kijijini huko watu hawazijui sambusa wanajuha miogo tu.!!Harafu wauza sambusa mnazingua mnasemaga ni za nyama mnajaza mavitunguu tele.Aanze hata kuuuza sambusa mtaji wa 50000 unatosha
Kashaomba mpk nafasi ya kujitolea mara kibao ,sehem kibao mpk monchwari kakosa .Afanye bila kulipwa ili aweze kutengeneza network,kupitia huko anaweza akawa anaanzisha tuition center yake huku maisha yakiwa yanasogea
Ajaribu upande wa sales awe analipwa kwa kamisheni..pale anapokuwa anapeleka wateja.Makampuni mengi yanahitaji wateja..kwa hiyo yeye akiwa anawapelekea atakuwa analipwa kutokana na makubaliano.Kashaomba mpk nafasi ya kujitolea mara kibao ,sehem kibao mpk monchwari kakosa .
Kwani baba yke alimlipia ada akasome ili aje kufungua kibanda cha sim,una comment km umelewa banana bhana..!!Huko alipo hamna mashamba? Hata ajaribu kilimo Au atafute masoko (hata udalali wa kilimo?)
Fursa Mbona Zipo nyingi tu hata kama yupo kwenye handaki
Kama huko kijijini, hawezi kufungua hata kibanda cha simu akawa anapigishia watu, kusajili line, uwakala, kuweka nyimbo kwenye simu, kutuma na kusoma msg kwa wateja ambao hawajui kusoma
Basi akishindwa vyote aende tanga mjini, viwanda vingi tu hawezi kosa ajira yoyote cha msingi asikatae kazi ilimradi iwe ya halali tu!
Hao hata miaka 3 kitaa hawajasugua bench!!Sio yeye tu anaehangaika uku mtaani bali kuna rundo la wahangaikaji na wahanga wa ajira .
Wewe inaonekana unataka upate tu kuchangamsha jukwaa kwa jibu hili ulilolitoa na uhakika humu unataka likes tu sababu unapewa ushauri unajibu kunya na ni ushauri mzuri tu sasa decade hii mtu una diploma watu kibao ambao Hawana kazi wana degree na mastersKwani baba yke alimlipia ada akasome ili aje kufungua kibanda cha sim,una comment km umelewa banana bhana..!!
Habari wana JF. Kuna jamaa yangu amemaliza diploma ya uhasibu ila unaenda mwaka wa tano sasa hajapata mchongo wowote wa kazi.
Yeye binafsi anahisi huko kijijini kwao Tanga huenda machizi wakawa wamemroga hasitoboe.
Binafsi nilifikiria nimshauri aende kwa mganga akasafishe nyota ila jamaa hataki kusikia habari za waganga.
Hapo ndipo nilipopata wazo la kumshauri aende kwa Mwamposa _"Bulldozer" akakanyage mafuta apate kufunguliwa vifungo. Au wadau mnasemaje? Au mchizi afanyaje ili aweze toboa maana game imekuwa ngumu?
Asanteni!