Ulimhola ilumbuye? Nicholage kupmhabari zenu wana JF naombeni ushauri, mimi ni bint wa miaka 24 mzaliwa wa shinyanga ila kwa sasa naishi arusha, naombeni ushauri maisha yamekua magum nilikuja arusha kutafuta kazi kutokana na hali ngum niliyokuwepo nayo nyumbani, nilipofika nikapata bahati nikapata kazi banana investment nimefanya kazi kama mwaka mmoja hv, badae tukapunguzwa, nimetafuta kazi mapaka nimechoka jamn nimepanga chumba kodi imeisha nifanyeje nawaza kurudi nyumban lakini kila nimwambia mama narudi nyumban sukari na presha vinapanda sijui nifanyeje guys naombeni ushauri dunia chungu, usiku usingizi sipati nalala saa 9 naombeni ushauri ndugu zangu
Acheni jokes over a desperate situation. She is serious na ameamua kufunguka kwa kadri anavyoweza.
Kama una msaada wa karibu aidha Moshi au Arusha umsaidie. na sio kumdhihaki na kumpa ushauri ambao hata we mtoaji huwezi kuufatisha na kufanikiwa nao.
Dada yangu Jack 1 nakushauri jitie moyo na umtafute Mungu maadam anapatikana. usipoteze tumaini hata kidogo. Chukua hatua moja baada ya nyingine. Mungu akutangulie na kukufungulia milango.
Punguza mawasiliano na mama nyumbani inavyoonekana kwa hali yake haitaji kusikia negative news toka kwako kwani zinamuumiza sana ndo maana unasikia presha ikimpanda.
Mungu anasikia kilio chako. Fungua moyo wako na umuombe kwa dhati na kumaanisha. Kuna sala zinazojibiwa haraka amini na itakua hivyo.
I hope this message finds you in time.
Ubarikiwe
Je kwel uko serious maisha yamekuwa magumu au unatest watu? Ujue nami nimepita uko uko najua ugumu wa kutokuwa na lolote,uwa hali ni shari. Yalinipata nikiwa dar yan mpaka leo mtu akisema ivo uwa najisikia kiwewe. Mungu niepushe nisirudie uko. Ushauri: usirud kijijin uko hali ni mbaya zaidi. Msaada: ukiendelea kukwama unipm nijaribu kukusaidia ila kama kwel una shida ucjekuwa mpelelez. Nyumba niliyopanga ina chumba sikitumii,kama ukikwama uje nikusaidie. Pole sana
Pole dada. Diploma in Journalism?unakosa kazi?Uli pass?lugha unazijua?Uko tayari kufanya kazi kima cha chini kiasi gani?Humu Tz kazi nyingi ila malipo madogo,kurudi kijijini si bora utafute kazi ambazo utaweza kuzifanya kwa ujira mdogo huku ukitafuta kazi?huku unamueleza ukweli mwajiri wako kuwa napokea eg 50 elfu kwa mwezi lakini natafuta kazi siku nikipata naomba niondoke,hapo utakuwa unakula bure,unalala bure?nilimsifu driver aliyefukuzwa kazi akawa house boy excellent,lakini wakijua kuwa ataondoka siku yoyote lakini alikuwa na uhakika wa kulala na kula bure mpaka akapata kazi ya UN salary >650,000. Wewe kijijini unaweza kuwa kiongozi wao lakini ukifika mjini kurudi
shamba si busara sana.
umeolewa?ili niangalie kama naweza kukusaidia!
kila media nayoomba wanasema nijitolee kwa miez sita sasa najiuliza hiyo miezi sita unakua unakula nn, naul ya kazini, chakula bado inakua ningum pia kwangu
habari zenu wana JF naombeni ushauri, mimi ni bint wa miaka 24 mzaliwa wa shinyanga ila kwa sasa naishi arusha, naombeni ushauri maisha yamekua magum nilikuja arusha kutafuta kazi kutokana na hali ngum niliyokuwepo nayo nyumbani, nilipofika nikapata bahati nikapata kazi banana investment nimefanya kazi kama mwaka mmoja hv, badae tukapunguzwa, nimetafuta kazi mapaka nimechoka jamn nimepanga chumba kodi imeisha nifanyeje nawaza kurudi nyumban lakini kila nimwambia mama narudi nyumban sukari na presha vinapanda sijui nifanyeje guys naombeni ushauri dunia chungu, usiku usingizi sipati nalala saa 9 naombeni ushauri ndugu zangu
hapo juu sioni ushauri wa lala1!!au mkuu amekukaa kichwani huyu mtu!!Kama alivyoshauri lara1 huo ndio mpango la sivyo utajikuta unajiingiza katika maisha ambayo hukutarajia.