Ushauri:ITV,Azam tv,Channel 10 rusheni matangazo ya Bunge wananchi ikibidi tutawachangia

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Nawashauri wamiliki wa vyombo hivi warushe matangazo ya Bunge na ikibidi ianzishwe account maalumu itakayoratibiwa na TCRA ambapo wananchi na wadau mbalimbali wataitumia kutolea michango kugharamia urushwaji live wa vipindi vya Bunge.

Tumieni hata Mpesa,tigo pesa na airtel money. Tutwachangia ingawa kodi zetu ndio zilistahili kugharamia matangazo hayo kupitia TBC1 na adhabu yao tutawapa mwaka 2020.
 
Azam na Continental wanarusha Live Bunge No Needs kuchangia kinachohitajika ni kununua Ving'amuzi Vyao maana kama hauna king'amuzi hivyo hautoweza kuona labda Tuombe channel Ten au ITV wawe wana hook na kulipia Hizo Airtime.
 
Nawashauri wamiliki wa vyombo hivi warushe matangazo ya Bunge na ikibidi ianzishwe account maalumu itakayoratibiwa na TCRA ambapo wananchi na wadau mbalimbali wataitumia kutolea michango kugharamia urushwaji live wa vipindi vya Bunge.

Tumieni hata Mpesa,tigo pesa na airtel money. Tutwachangia ingawa kodi zetu ndio zilistahili kugharamia matangazo hayo kupitia TBC1 na adhabu yao tutawapa mwaka 2020.
NAJUUUUTA KUWA RAIA WA LINCHI KAMA HILI.
 
Back
Top Bottom