Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Ujue ukaribu nao unaushawishi kaona mbali yatakuwa maneno matupu
Kakaa karibu kapigwa mkopo wa mangi kuonana mwisho wa mwezi hapo shuhul ishaisha
Ujue ukaribu nao unaushawishi kaona mbali yatakuwa maneno matupu
nitagi na mimi basi mkuuKuna uzi sehemu nakutag ukajifunze kwa uhuru kule
nitagi na mimi basi mkuu
Huna roho mbaya mwenyewe
Ndivyo ilivyo siku zote mwaya.Hahaha kizuri kula na mwenzio
Kama hivi au?mkuu ,unawezaje kuandka kwa rangii
unataka kunidanganya kama huyo wa duka au mm sitakiMama mie nataka nkufungulie kituo cha mafuta kabisa njoo bas uhamie kwangu
Ha ha ha ha acha woga uje upewe raha za dunia shaur yakounataka kunidanganya kama huyo wa duka au mm sitaki
hizo raha acha zinipite tu si kwa kudanganywa hivyoHa ha ha ha acha woga uje upewe raha za dunia shaur yako
Sasa kwan wewe hutak dukahizo raha acha zinipite tu si kwa kudanganywa hivyo
nan anataka kunipa dukaSasa kwan wewe hutak duka
Unakua na kitu kama cha mariedo vilenan anataka kunipa duka