Hapo itabidi ufuatilie kipindi cha mapishi ch.10 ujaribu kutafuta mawasiliano ya mwongozaji.Vipi mkuu tuition fee yao ikoje
Utafute na bakora ya muanzi maana vya kupika anaenda navyo na akitoka kwny pindi anarudi nyumbani na alichokipika.Mkuu thanks Kama hii kitu ipo she can learn japo hajajua kuwa nimegundua kuwa yeye ni mzigo
Mmmh kwanza una mpango wa kumuoa au wataka kumchezea tu? kama vipi usimpotezee muda wake kutokujua kupika sio sabab ya kumuacha mwanamke kama kweli unampenda, Au unataka wale wanaojua kupika lakini ni wasaliti??? anaweza akajifunza ndani ya miezi michache tu na akawa mpishi mzuri tu.Mkuu thanks Kama hii kitu ipo she can learn japo hajajua kuwa nimegundua kuwa yeye ni mzigo
Nice poemI'd rather she never blow my brains, but she gotta blow my stomach with her recipes, man. Don't know what I woulda done in your shoes, but a mama that can't cook is a turn off.
We had maids, and cousin sisters around when growing up, but our mum still taught all her boys how fix ourselves in the kitchen. What's her excuse?