Ushauri huu wa teja umekaaje?

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Jamaa mmoja alikuwa anamuomba ushauri mwenzie wa kiafya kwani alifunga hapati choo kwa muda wa siku 3. Mwenzie akamshauri atumie dawa za kichina za kusafisha tumbo ziko nyingi. Wakati wanajadiliana hilo teja moja ilikuwa jirani nalo likatoa ushauri wake....." oya mwana dawa za kichina za nini unaharibu hela wewe nenda uwanja wa ofisi kale supu usipoharisha na kusafisha tumbo mimi bange naacha; utapata supu hata ya jiti moja".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom