Ushauri huu unawafaa watu wote.

Naweza mruhusu anientertain kwa story yake, ambayo in a way yaweza nisaidia kunidistrupt kutoka kwenye mawazo yangu 101 ambayo nayaniumiza kichwa at the moment.
bora wewe ambaye unao huo muda wa kusikiliza hayo mambo.... Hivi habari ambayo haina maana kwako yawezaje kukusaidia chochote? utasikiza wangapi?
 
bora wewe ambaye unao huo muda wa kusikiliza hayo mambo.... Hivi habari ambayo haina maana kwako yawezaje kukusaidia chochote? utasikiza wangapi?

Just like now, najibu hii habari ambayo haina maana kwangu; and l guess you are doing the same. Muda umeupata wapi wa 1st kuingia kwenye blog ya mtu na kucopy na kuipaste huku MMU.

I am just lazing out and enjoying challenging you, while watching "the wire" after eating uporo wa pilau. Simple life! LOL
 
Hii sio habari na pia haimuhusu mtu yoyote yule. so ina yaweza kuwa na maana kutokana na ambavyo msomaji atavyoisoma na kuielewa...Huo ni ushauri tu... Mfano leo aje mtu kwa kukurupuka kwake aanze kusema mambo mengi kukuhusu wewe Kaunga na kimsingi mambo hayo mi naona hayanihusu, unadhani hata nitapoteza muda wangu kumsikiza? tena naweza hata kumtoa nduki na umbeya wake
 
Nikija na story, yenye heading; "Boss wangu kafumaniwa" hautasoma wala kuchangia.
Usinifanye niwashe laptop nifuatilie michango yako yote ya nyuma.

Hujiulizi kwanini watu wengi wamekuuliza yamekupata nini? The fact kwamba umeileta hiyo post inamaanisha in a way unaentertain umbea ndio maana umetafuta remedy. Wasio na mambo hayo hawajui hata existance ya mambo Kama hayo. I tell you, hakuna mtu anadare hata kuja kuniambia mtu Fulani ananisema; so to me sioni big issue ya umbea unaousemea as in my world ni non existance.

Ukija JF ni another case.
 
hahahahahahahaha hii inakuwa applied hata kitaani. sio JF tu. na kuchangia kwangu pengine ni kwa kukurupua huyo mleta habari
 
Ayaaa ni kamanda wangu mwenye jina la ukweli aisee, "Tobias Emir Mitteco Andengenye" hahah....a.k.a. jembe!!!!
hahahahah Kamanda wanko ameamua kutoa saluti
 

ushauri mzuri mnoooo
ushauri mzuri kama huu hutolewa sana na watu ambao wamekutwa na jambo furani
anyway pole sana kwa yaliyokukuta
 
Twin karibu tena....... pole kwa yaliyotokea.
Nikitulia siku nitakuja na uzi wa rafiki yangu fulani, kama ni member huku atanisamehe tu maana hata huwa simwelewi....
labda shem wangu Nicas Mtei atanisaidia kum-define
 
Last edited by a moderator:
Kusema ni rahisi ila utendaji siku zote ni mgogoro....all I can say ni lets walk the talk....., matendo yanafundisha kuliko maneno.....sorry kwani ilikuwa lazima niseme haya
 
jamani huwezi kuwa perfect kwa kila kitu kuna mambo mengine utakuwa perfect kwayo hivyo mtu hujifunza kwa habari za watu wengine kwani wewe huoni magazeti yanavyouzwa sana kwani zile sio habari ambazo tunazisoma humo sasa kwanini unasema kuwa hupendi kushughulisha na habari za watu wengine lazima ujifunze kiuchumi , kijamii na kisiaasa vilevile au umekwamia wapi mwenzetu Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
hahahahah Kamanda wanko ameamua kutoa saluti

Sheria inamtaka hivyo kwa mbunge wako...!

Sema mbunge mwenyewe kamanda jina...hawa watu lazima waende walau JKT wote..wana uraia mwingi sana! Unapigiwa saluti unachekacheka hivyo!??? #sijapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…