Ushauri huu unawafaa watu wote.

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
11,556
Reaction score
7,113
Fanya juhudi za makusudi kumkimbia yoyote anayekuletea habari za mtu mwingine, tafuta marafiki wanaozungumzia maendeleo, hata ukiwa peke yako soma habari zinazokupa mtazamo na fikra mpya, epuka habari za maisha ya watu zisizo na tija katika maisha yako..
 
Ushauri mzuri mno lakini unaweza chochea umbea zaidi
why?
sababu watu wanaokujua na wako close na wewe nao watajiuliza why?
kuna nini?
umem target nani?
kasema nini? lol

the cycle don't stop lol
 
Ushauri mzuri mno lakini unaweza chochea umbea zaidi
why?
sababu watu wanaokujua na wako close na wewe nao watajiuliza why?
kuna nini?
umem target nani?
kasema nini? lol

the cycle don't stop lol

Najua kuwa wapo watakaohtaji kuuliza hayo. Ila all i can say ni kwamba huo ni ushauri tu ambao kila aliye timamu na anayejua maana ya maisha basi atauzingatia. Mi sina tatizo na yeyote humu
 
Yamekukuta yepi tena?
Habari za mtu mwingine ni habari zenye mafunzo ujue. If u are smart huwezi ondoka empty handed; halafu maendeleo ni pamoja na social, spritual sio economic peke yake.
 
Yamekukuta yepi tena?
Habari za mtu mwingine ni habari zenye mafunzo ujue. If u are smart huwezi ondoka empty handed; halafu maendeleo ni pamoja na social, spritual sio economic peke yake.

Sijakutwa na lolote Kaunga. Zaweza kuwa funzo kutokana na zilivyo lakini je utasikiza za wangap? Kila kukicha matukio yanatokea so we utasubiri kusikia habari za watu ili ujifunze? Wawezaje kujifunza kwenye mambo yasiyo na tija kwenye maisha yako?
 
Last edited by a moderator:

nipe mfano wa jambo lisilo na tija.
BTW sidhani kama kuna mtu zaidi ya mwandishi wa habari ambaye hiyo ni ajira yake anayekaa akisubiri mambuo yatokee.
Things happens, unaletewa umbea, usipojifunza kuhusu huo umbea basi utajifunza kuhusu huyo mleta umbea. Uwezo wa kujifunza na matumizi ya hiyo elimu ndio thing inayotofautisha smart and less smart people.
 
Last edited by a moderator:
Mtu akitenda dhambi kwa muda mrefu wa maixa yake (kuua, kuzini, uchawi, ulevi, etc) arafu ghafra akabadilika na kuanza kufanya ibada (khofu juu ya mola wake) ujue uhai wake uko ukingoni (anakaribia kufa)
 
Anayekwambia habari kuhusu wengine hataacha kuwaambia wengine kuhusu wewe

yapo mambo mengi sana ambayo tunaweza kuwa serious nayo kuliko kupoteza muda mwingi kusikiza habari za watu...
 
Mtu akitenda dhambi kwa muda mrefu wa maixa yake (kuua, kuzini, uchawi, ulevi, etc) arafu ghafra akabadilika na kuanza kufanya ibada (khofu juu ya mola wake) ujue uhai wake uko ukingoni (anakaribia kufa)

Kuna uhusiano wowote kati ya ulichoandika na kile nlichoandika mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…