Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,633
- 164,751
Sasa hawa vijana wamiliki wa vyeti akina polepole mbona wanatuambia serikali yao haiitaji misaada? Kumbe wakubwa wamefikia hatua ya kufikiria kutunga sheria ya kung'ang'ania wahisani!!Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe la leo tarehe 05/04/2016, serikali imeajiri mshauri elekezi atakaeandaa mpango kazi kwa ajili ya kuwabana wafadhili wasiweze kujitoa katika ufadhili mara baada ya kusaini mkataba na serikali wa kutoa fedha za ufadhili.
Chanzo:Nipashe
Hakika hii misaada imetudumaza na tusidanganyane eti tunaweza kujitegemea kama hivi ndivyo tunavyowaza.
Hivi wakigoma kusaini nani mwenye hasara?!
Polepole mwenyewe asipopewa pesa hukaa kimya, kabuni mladi wa kula pesa za ccm kwa kisingizio cha kuwahujumu Ukawa.Sasa hawa vijana wamiliki wa vyeti akina polepole mbona wanatuambia serikali yao haiitaji misaada? Kumbe wakubwa wamefikia hatua ya kufikiria kutunga sheria ya kung'ang'ania wahisani!!
Hapo ndipo wanaposhangaza na kudhihirisha unafiki wao.Sasa hawa vijana wamiliki wa vyeti akina polepole mbona wanatuambia serikali yao haiitaji misaada? Kumbe wakubwa wamefikia hatua ya kufikiria kutunga sheria ya kung'ang'ania wahisani!!
kujitegemea una maana gani? kama nchi gani?Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe la leo tarehe 05/04/2016, serikali imeajiri mshauri elekezi atakaeandaa mpango kazi kwa ajili ya kuwabana wafadhili wasiweze kujitoa katika ufadhili mara baada ya kusaini mkataba na serikali wa kutoa fedha za ufadhili.
Chanzo:Nipashe
Hakika hii misaada imetudumaza na tusidanganyane eti tunaweza kujitegemea kama hivi ndivyo tunavyowaza.
Hivi wakigoma kusaini nani mwenye hasara?!
Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe la leo tarehe 05/04/2016, serikali imeajiri mshauri elekezi atakaeandaa mpango kazi kwa ajili ya kuwabana wafadhili wasiweze kujitoa katika ufadhili mara baada ya kusaini mkataba na serikali wa kutoa fedha za ufadhili.
Chanzo:Nipashe
Hakika hii misaada imetudumaza na tusidanganyane eti tunaweza kujitegemea kama hivi ndivyo tunavyowaza.
Hivi wakigoma kusaini nani mwenye hasara?!