Ushauri: Hataki afanye kazi yoyote ile.

Kwa mwanamke unapokubali kuolewa jua kwamba unaingia kwenye utawala wa Mwanaume kwa hiyo huna budi kufuata anavyotaka, chamsingi aangalie njia mbadala ya kuingiza Pesa akiwa nyumbani afuge hata kuku wa mayai na nyama aweke matangazo Getini.
Asante kwa ushauri wako ndugu.
 
Mkuu hata mimi naunga mkono hoja lakini mwanamke atavumilia mpaka lini? Maisha ya sasa hivi ni kusaidiana hasa usawa huu ulivyokaza. Cha msingi ampe hata uhuru wa kufanya biashara wasaidiane katika majukumu mengine ya kifamilia.
Huyo nae karidhika na ugolikipa wake,hela ya kupewa haitoshagi siku zote,Akiamua anaweza kumshawishi Mme wake na atapewa mtaji na ruhusa pia,HAMNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI
 
Back
Top Bottom