Wanaume ni kama watoto the way unavyoishi naye kuna namna unamjenga kua hivo, pengine hayo n matokeo ya walivyokua wakiishi before,isitoshe dada kishavumilia miaka mitano kigeni kipi anachokiona, kwa nnkule mwanzo asiseme amechoka na hiyo hali?? Kama anamtaka mumewe afanye mume anavyotaka kama hana haja na ndoa yake afate anachokitaka yeye, dada marafiki hana kakutana na huyu kaleta hapa s mbaya lakini kufata ushari wa kutafta kaz ndoa yake itatikisika vibaya sana na hapo source atakua mtoa mada, ningekua me n huyo dada ningekufa nayo miaka mitano kuvumilia si haba means nishajua kucontrol hali na kutafta akili ya ziada kama kuwekeza pesa anazonipa najua nitakuja kupata hela ya maana naenda fungua biashara kwa wazaz wangu huko nawaambia waseme ni yao kumbe me ndoo niko nyuma ya pazia na maisha yanaenda