mareeTZ
Senior Member
- Jun 4, 2015
- 171
- 181
Mdogo wangu uliyepo chuo first year hii kozi nakushauri achana na CHUO sasa kabla hujachelewa na kuja kujutia mda wako. Hii degree kama hakuna ajira serikalini ni ya mwisho katika solo la ajira mtaani. Ukiacha sasa na kuumiza akili kujikwamua kimaisha wenzako wakimaliza watakuja kuomba kazi kwako.