Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Ni 2021 tu na 2022
Alaf hyo miaka nlipata ishu kubwa ya kifamilia ikaniweka busy sana
Wa kuzugia walikuwepo ila kwakwel mzee aliwazidi
Mzee noumaaa sanaa huyoooo!!
Usijinyimee na kuinyasanyasa nafsi yako ipe roho kitu inaa taka!!
 
Tafuta ule uzi wa shuhuda za watu waliorudiana na maex zao utapata majawabu
Ila bnafs skushaur urudiane nae
 
Ndo maana mimi naukubali sana Uislam kwa issue kama hizi,

-Mwizi akatwe mkono, hakuna haja ya kumpeleka gerezan, akiiba tena kata mkono mwingine. Yaani tit for tat haina kuremba

Mzinifu mwenye mke/mume, apigwe mawe mpaka afe.

Aisyemsikiliza mzazi ameahidiwa moto mpaka atububtoba ya kweli kweli. Mtume mwenyewe alitaka kumchoma moto swahaba wake mpenzi kwa sababu hakuwa anamsikiliza/anampenda mama yake.

Yaani kwa kuomba huu ushauri, tulitakiwa tukuwekee mapira tukumwagie peteoli na kukutia moto,

Acha hizi habari, tubu sana, mkumbuke mamayako, na uanze kumsomea dua daily, na kumtolea sadaka, ili ajisikie kheri huko alipo. She needs more from you for the huge job she has done.
 
Wadau wa kufupisha mnipe summary.

Nakadori alipenda mume wa mtu, na hatimaye akachumbiwa kabisa...

Wakaachana, ila sasa Nakadori kakutana tena na bwana na inaonekana bwana kampiga saundi za kurudiana...

Sasa Nakadori anauliza, je arudiane na huyo 'mume wa mtu'?
 
Mzee noumaaa sanaa huyoooo!!
Usijinyimee na kuinyasanyasa nafsi yako ipe roho kitu inaa taka!!
Mateso nlopitia shoo kweli nirudi
Labda kupekechwa tu ...
Ila nkikwama huko utanitoa??
 
Nakadori, katika kuishi kote na huyo mshefa, haujawahi pata naye mtoto/watoto?
 
Nakadori alipenda mume wa mtu, na hatimaye akachumbiwa kabisa...

Wakaachana, ila sasa Nakadori kakutana tena na bwana na inaonekana bwana kampiga saundi za kurudiana...

Sasa Nakadori anauliza, je arudiane na huyo 'mume wa mtu'?
Ewaaaa
 
Naona majibu yote unayo, tatizo kuna nguvu mbili unapambana nazo ambazo ni chanya na hasi.

Chanya inahitaji akili,maarifa,hekima,busara na utulivu ambao hauna kwani kwa maswali uliyojiuliza ungekuwa umefanya maamuzi muda mrefu kama marehemu mama yako aliokuwa amekufanyia.

Lengo la marehemu mama yako: Kukujengea kesho iliyo bora.

Hasi
ambayo nahisi ndiyo inayokuongoza wewe imejaa mahaba,hisia,upotofu ,hadaa,mapenzi,kumbukumbu, ubatili n.k.

Lengo: Kukuharibia kesho iliyo bora.

Nb 1: Tunaishi mara moja hivyo kupanga ni kuchagua ,lakini unatakiwa uchague kilicho sahihi kwako!!!!!!!

Nb 2: Kichwa kinabeba masikio lakini kazi yake kuu ni kufikiri.!!!!!!!!!!!!!

Nb 3: Kwenye kufanya maamuzi bora na ya kujenga, kichwa hutumika zaidi (kama siyo mara zote) na siyo moyo ambao una sifa ya kudanganya!!!!!!!!!!!!!!!
 
Asante sana kwa muda wako na kwa ushauri bora
 
Kwenye maisha kuna kukosea.

Huyo J ni kweli alikukosea,hope na wewe ulimkosea mkayamaliza.

Nilivyoelewa mimi,uliondoka kwa J baada ya kupata kazi ,hayo maugomvi yalikuwepo lakini uliyavumilia,na uliondoka baada ya kupata kazi,hivyo kazi ilikuongezea comfidence ya kuschana na J.

Aya twende taratibu,tuanze na vitu vilivyokupa nguvu ya kuachana.
1.Umri
2.ndugu hawakumkubali
3.mama na mdogo wake hawajabariki
4.umepata kazi
5.mateso mliyopeana na kuongopeana,(hapa siwez sema alikutesa yeye tu kamwe)

Sababu za kwanini mrudiane
1.upweke
2.huna mpenzi wa uhakika aliemzidi j vigezo
3.unajihis hatia kumuacha kisa umepata kazi,yani huna uhakika kama kweli ni mamuzi yako.

Ushauri wangu.
Kuhusu makosa ya J ni kawaida tu,ila achana nae

Si kwakua amekukosea sana,ila unahitaji future nzuri na mtu wa rika lako mpate watoto wenu mlee,tofauti na hapo utakua upo katikati ya matatizo kibao.na inawezekana aliepauka yule si mke wake,mkewe alifichwa

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Muache mamangu apumzike kwa amani baada ya tabu za dunia. Sijamkosea asee. Kosa langu hapo ni kupenda kwa dhati au? Had mahari ilitolewa kumaanisha nimekuwa mke wa mtu...sasa kosa langu ni kukosea kuchagua??
 
Nilimuacha sababu ya mateso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…