Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Huwa anaongea sana tu kwenye simu kwamba asamehewe.
Hata msiba wa mamangu alikuja na kote alikuwa anaomba nirudishe moyo nyuma
 
Itoshe kusema your emotional attached to j hata kama uolewe na cr7 au mwanaume gani yule j akikupa maneno ya 🍯🍯🍯 hutaacha kumrudia

Inabidi ubaki nae au utafute njia ya kuji attach emotionally kwake

Hio ndo njia pekee 😞
Nisaidie anitoke kabisaaa
Kweli sihitaji kurudi kule
Nimepitia mengi
 
Una utoto mwingi sana na hujui unachokitaka, kwa kifupi umeandika pumba mwanzo mwisho.
 
Sio age met
Labda wa kuzugia tu ila mda mwingi niko single... tangu tuachane ni miaka 3.
Lakini pia kumbuka nililipiwa mahari kwa maana nyingine niliolewa kimila
Mahari isiwe kifungo, kama unahisi bond yenu haipo na alikosa kukuheshimu wakati wa uchumba hata ndoa haijafungwa, una uhakika amebadilika?

Familia yenu ifanye utaratibu wa kuvunja huo uchumba kwa kurudisha sehemu ya mahari inategemea utaratibu na mila za kabila lako ili wewe uwe huru

Huyo kama alikua ameoa akaavhamke basi trust me, hata wewe utaachwa

Songa mbele usirudie matapishi utakuja kujuta
 
Huwa anaongea sana tu kwenye simu kwamba asamehewe.
Hata msiba wa mamangu alikuja na kote alikuwa anaomba nirudishe moyo nyuma
. Nakadori, sijui umri wako, but take it from me, kuna raha ya kwenda mbele na kuanza mambo mapya, kuacha utoto, na kujenga familia......

Msahau, and trust me, I may be his age, kuna kitu kinaitwa mutual understanding, watu wazima kwa mtoto hufuata huo mwili wako tu......

Watu wa umri wetu tunapenda sana kukutana na watu similar kwa majadiliano ya ki umri na ki mtazamo, utatumika kama chombo cha starehe.

Achana NAYE
 
Sawa nitawaambia arudishiwe mahari yake niwe huru
 
Sawa mkuu
Nitaangalia mbele namtoa kabisa kwenye ramani
 
Kakuona umependeza anataka akuumize na kukupausha tena.....Achana naye utampata mwingine kwanza umri ushamtupa mkono
Na kweli alijua kunichakaza nilikosa tumaini nikawa namuona yeye tu.
Imagine alitaka kunihamisha nikaishi kijijini kabisa eti mjini gharama...vyeti vyangu wala sikuwa na muda navyo...
Sjui nililogwa kama wengi walivyosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…