2014 tunaelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa, na 2015 tunaelekea katika uchaguzi mkuu (kama katiba itakuwa imekamilika). Lakini lazma utambue ili chama chako kishinde hakihitaji tuu wanachama wake, la hasha mnaihitaji CCM, mnaihitaji CUF na hata wale wasio na vyama (in short mnahitaji majority)
Usipoipenda CDM machoni, moyoni lazima utaipenda tu. Nashukuru mkuu timu nzima ya b7 imekubali hii kasi ya CDM. Jana Kinana anadai CCM imekusanya maoni ya WanaCCM ml 2 kwenye rasimu ya kaitba mpya!!! Swali ni wapi walikusanya hayo maoni na lini?? Uongo utaingazamiza CCM. Nawapa heko CDM kwa kasi wanayoenda nayo kuhakikisha kwamba Watanzania wanaielewa Rasimu ya katiba.