Ushauri: Dr W Slaa bado unahitaji wanawake

ccm ni majangaa na aibu tupu, SHAME UPON THEM, kweli ushauri wako ni mzuri nafikiri CHADEMA WATAFANYIA KAZI MAWAZO YAKO.
 
busara ya kuwa handle wanawake haipo ndani ya cdm haipo kwa sababu ya kashfa zifuatazo
1.mbowe__kuna mtu bungeni__ katunguliwa mimba (tuhuma)
2.lema_kule uingereza kesi iko ubaoni (ubakaji)
3.slaa_habari bure.

Ongelea hoja iliyopo mezani na sio kuleta hadith za juma na uledi.

Hata hizo pesa mnazopewa huko lumumba ni bure kabisa kwa watu kama wewe.....sasa hapo umeona umewachafua????
 
ushauri ni ushauri tu haijaalishi umeukubali au utaukataa, vyema kujifunza kutoka kwa wengine, mwl nyerere aliwahi kusema chama ni kama dodoki lazima kisafishe uchafu uliondani yake ili kiwe safi (zaidi)
 
Ongelea hoja iliyopo mezani na sio kuleta hadith za juma na uledi.

Hata hizo pesa mnazopewa huko lumumba ni bure kabisa kwa watu kama wewe.....sasa hapo umeona umewachafua????

miss strong umenikumbusha "juma na uledi"
 
Last edited by a moderator:
ushauri ni ushauri tu haijaalishi umeukubali au utaukataa, vyema kujifunza kutoka kwa wengine, mwl nyerere aliwahi kusema chama ni kama dodoki lazima kisafishe uchafu uliondani yake ili kiwe safi (zaidi)

1. wanawake wanataka maneno laini.na kuwabembeleza sasa mkiwaita mashankupe mtaendea kuwa washiriki mpaka mwisho wa dunia.
2.mabomu yamezidi kulipuka alafu ushahidi wa video mnao wenyewe, mwanamke gani mjinga atakubali kusogea.
2. maandamano yanayohatarisha usalama kila siku mwanamke gani utampata.wanahofia usalama wa watoto wao.
3.wanawake mwanza wanajuta na ujinga mmnaoufanya.na ikiwa mwanza mlikuwa na madiwani wengi na meya alikuwa wa kwenu nini mlicho kifanya.mmetota kwa mavurugu ya wenyewe kwa wenyewe "shame on you"
 
Ongelea hoja iliyopo mezani na sio kuleta hadith za juma na uledi.

Hata hizo pesa mnazopewa huko lumumba ni bure kabisa kwa watu kama wewe.....sasa hapo umeona umewachafua????

embu weka hio hoja kutoka kwenu,
 
Ni Mwanamke gani CCM ambaye tunaweza kumuweka kwenye Level ya Halima Mdee ?
 
Ongelea hoja iliyopo mezani na sio kuleta hadith za juma na uledi.

Hata hizo pesa mnazopewa huko lumumba ni bure kabisa kwa watu kama wewe.....sasa hapo umeona umewachafua????

Za kwako umeshakwenda kuchukua kwa babu??!
 
Ushauri mzuri ila sidhani kama hiyo title ilikua necessary.Pia unaandika kama vile unamlenga Dr.Slaa personally.

Ben akili nyingi mwisho unaharibu sasa, yaani inaonesha wewe ndiyo unamkashifu Katibu Mkuu wako sasa!
 
Ni Mwanamke gani CCM ambaye tunaweza kumuweka kwenye Level ya Halima Mdee ?

Fafanua mkuu level ipi kwa sababu zipo nyingi,kuna sura tu ya usoni,miguu,mgongo,na hata pesa,funguka kwa mbele kidogo!
 
mwambi babu aoe kwanza tunaogopa kuwaleta wake zetu wasije waka.....be...stolen.

Mamaako ashukuru Mungu alikuzaa akatoa uchafu tumboni vinginevyo ungemuua kwa kansa ya tumbo la uzazi.
 
busara ya kuwa handle wanawake haipo ndani ya cdm haipo kwa sababu ya kashfa zifuatazo
1.mbowe__kuna mtu bungeni__ katunguliwa mimba (tuhuma)
2.lema_kule uingereza kesi iko ubaoni (ubakaji)
3.slaa_habari bure.

Oohoo!yaleyale.sasa huyu Tofyo kwa hii akili ya maiti tayari amekwisha ingiza buku 7
 
Ben akili nyingi mwisho unaharibu sasa, yaani inaonesha wewe ndiyo unamkashifu Katibu Mkuu wako sasa!

Haya ndiyo madhara ya sumu mkuu,halafu si unajua yeye yuko kikazi,sasa kama ameshageukia upande wa pili unatarajia nini,njaa mbaya sana!!!!
 
Mamaako ashukuru Mungu alikuzaa akatoa uchafu tumboni vinginevyo ungemuua kwa kansa ya tumbo la uzazi.

hilo nalo ni kosa lingine mnaloendea kukosa wanwake.
 
Ni Mwanamke gani CCM ambaye tunaweza kumuweka kwenye Level ya Halima Mdee ?

Mkuu Halima is great. Halima ndio ana shule. Halima ndio ni iron lady. Halima huyu huyu ana uwezo wa kuongea na kujenga hoja bungeni na akaeleweka. Sasa tukija kwenye "namna ya kupata wapiga kura wengi" (wanawake) na ukweli ni huu "wanawake ndio wanaamua Raisi au mbunge ni nani... CCM inajua ku entertain wanawake. Kwa mfano huyo halima mdee ana ushawishi kwa asilimia kubwa wanaume lakini Sophia Simba pamoja na vimbwanga vyake ana ushawishi sana kwa wanawake. Ndio maana utaona CCM ina wakina Asha Baraka, akina Hadija Kopa. Usifikiri hawana impact.. Ukimsikiliza Halima (hana ile feminine from inside), ukimuangalia Halima Mdee standard yake ya maisha haimpi fursa mwanamke wa kawaida wa pale magomeni kujichanganya na akajihisi tupo kwenye chama chenye wanawake. Aina ya wanawake waliopo chadema sio reflection halisi ya wanawake wengi wapiga kura. Huwa nikiangaliaga mikutano ya CCM hujaa wanawake ila ya chadema hujaa wanaume. Fanya uchunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…