Ushauri: Dr. Slaa na Prof. Lipumba waanzishe chama chao

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Nawashauri Prof. Lipumba na Dr Slaa waanzishe chama chao ili wapambane na wapinzani kuinufaisha CCM.

Najua wakiungana hawa watu Dr slaa na Lipumba waunde chama ambacho kazi take iwe kudhoofisha upinzani
 
Hawawezi kukaa pamoja hawa! Tabia haziendani, halafu Dr. Slaa tusimlaumu bure amezidiwa na mapenzi! Mke ndio amemharibu.
 
Kuwa mchawi sio lazima mpaka ubebe hirizi, wewe socialpathy first class.
 
Mmoja ni padri mwingine ni Shekhe kwi kwi kwi kwi kwi! hapatoshi hapo. Sasa sijui wanachama watakuwa akina nani (nawaza tu kwa moyo wa huzuni ukizingatia hawa wote ni wasaliti wakuu)
Hadi hapo watakapotenganisha dini na siasa ndiyo wataenda vyema vinginevyo hawa watu ni mapapet wakuu
 
Shida inakuja Lipumba anaamini amezaliwa awe Mwenyekiti, so hatokubali kushuka.

Dr. Slaa nae hawezi kuvumilia kuendelea kuwa mtu wa Pili, akilini atawaza "it's my time now"

Hapo ndio Varangati litapoanzia, so Ni bora Lipumba yeye aendelee hivihivi na Jaji Mutungi, Ila Dr. Slaa arudi CCM officialy.
 
Nawashauri Prof. Lipumba na Dr Slaa waanzishe chama chao ili wapambane na wapinzani kuinufaisha CCM.

Najua wakiungana hawa watu Dr slaa na Lipumba waunde chama ambacho kazi take iwe kudhoofisha upinzani
na zitto umemsahau
 
tatizo ni kuwa hao wote wawili hakuna mwenye maamuzi ya mwisho.
mmoja atapokea maelekezo kutoka ccm,na mwingine atapewa maagizo na mkewe.
hapo chacha.
 
Nilikuwa shabiki mkubwa wa Slaa wakati akiwa bado na akili zake lakini tangu ashikiwe udokta wake na kimada na kuwa kuwadi wa CCM sina hamu naye.
 
Nawashauri Prof. Lipumba na Dr Slaa waanzishe chama chao ili wapambane na wapinzani kuinufaisha CCM.

Najua wakiungana hawa watu Dr slaa na Lipumba waunde chama ambacho kazi take iwe kudhoofisha upinzani
Kweli kabisa na nape nae akiunge mkono ajitoe ccm na wafuasi wake wote wa ccm wamuunge mkono nape especially vijana wote wa ccm au IMEKAAJE HII MKUU?
 
Hawawezi kukaa pamoja hawa! Tabia haziendani, halafu Dr. Slaa tusimlaumu bure amezidiwa na mapenzi! Mke ndio amemharibu.
Ni Kweli hapo Propesa Lipumba atataka lazima yeye awe Mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom