UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Habari wana JF,
Mwenye uzoefu na vyuo vya Kenya Diploma niliyoitaja ada ipoje, duration, qualification ya kujiunga campus gani itanifaa mimi nina certificate ya ICT.
Karibuni bandugu wote.