Ni kwa nini waTZ tunapenda kuweka mzaha au utani kwenye kila jambo? Kama huwezi kumsaidia afadhali usiandike chochote. Ninavyoona huyu jamaa anahitaji ushauri au mawazo kama kuna mtu ameshapitia hali kama hii.
Asante mkuu, walinipa mil. 6m kwa 72 months, washakata miezi kama 24, je kam nataka kulila inaweza kuwa zaid ya nusu ya deni linaloonekana,? Maana nataka kusafisha slip yng, Nimeuza kiwanja cha biashara nataka niwalipe ndg.
Mamamaaaaaaeeeeeee khaaaaa huku kuumizana yaaani umekopa milioni sita marejesho milioni 14 na wewe ukaweka signature kukubali aseeeeee.... Hiyo riba si 80%!!??....manina walahi