Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Wewe akili zako ni finyu na hujui nini maana ya forum. Nenda Facebook huko kwenye narrow minded people kama wewe. Watu wengine sijui mkojeYANI WEWE UNAULIZA MSAADA HAPA, WANA JAMII FORUM HUWA TUNA LOG IN KWENYE SYSTEM YA ABC BANK? SI UENDE, AISEE WASWAHILI WA MSOGA MNA TABU SANA!
Sijakupata frsh mkuu wangHiyo ni riba with other charges, fanya uwalipe haraka haraka
Uwe na busara kidogo. Tatizo lako hapa hutapata ufumbuzi. Sana utaambiwa nenda kawaone wahusika kitu ambacho unatakiwa ufanye bila hata ushauri.Nifundishe ku log in
Unaweza kuweka ka mfano mkuu, yan calculations kidogo.Watatoa riba ya miezi ya deni iliyobaki, kama Mkuu alivyokueleza hapo juu?!
Kwahyo if wananidai 14m niwalipe 12-10-9? Hata kama miez 72 haijafika mkuu, naana ndo kwanz inetimia 24 monthsukilipa kwa mara moja kama hawana magumashi watakupa discount kubwa unaweza kusev 2m maana mteja anayelipa kwa mda mrefu hulipa kingi kuliko mda mfupi
Loh, kumbe risech muhmBenki zingine majanga kama hiyo atm mke wangu walimzungusha miaka miwili
You're an angel came ,,thanksWewe akili zako ni finyu na hujui nini maana ya forum. Nenda Facebook huko kwenye narrow minded people kama wewe. Watu wengine sijui mkoje
Huku hawana ofcwafate office kwao
Nshakuchek pmnot found 404 taarifa za mkopo huwa zinaenda hadi BOT na bank nyingine hivyo watafanya ukose mikopo sehemu nyingine, kuna jamaa wanadeal na taarifa zako za mikopo nione inbox kwa msaada zaidi.
Mjomba hao watakupa pressure mpaka umalize miezi 72 huko hoi.!!Siku nyingine usikope kwenye hizo Benki uchwara utakufa na ufukara.sasa mil 6 unalipaje mil 14?na ukizembea utalipa mil 21 maana mi nawajua hao walichowafanya watumishi wengi..Bayport,platinum and comp.Kwahyo if wananidai 14m niwalipe 12-10-9? Hata kama miez 72 haijafika mkuu, naana ndo kwanz inetimia 24 months
Asante mkuuTafuta mtu mjuzi wa hesabu hizi za kibenki, kama wamekosea na kukuongozea deni ama riba Basi you can negotiable NA hata kuwachukulia hatua ya kuwashtaki kwa kutumia system kimakosa, hili linaweza kukupa power ya kurenegotiate the interest NA sio the principal amount of loan. Be tough and smart, a good lawyer can be a very good support
Haya makampuni haya ni bas tu tunapenda shortcutsMjomba hao watakupa pressure mpaka umalize miezi 72 huko hoi.!!Siku nyingine usikope kwenye hizo Benki uchwara utakufa na ufukara.sasa mil 6 unalipaje mil 14?na ukizembea utalipa mil 21 maana mi nawajua hao walichowafanya watumishi wengi..Bayport,platinum and comp.
we piga hesabu umeshalipa sh ngapi......iliyobaki walipeAsante mkuu, walinipa mil. 6m kwa 72 months, washakata miezi kama 24, je kam nataka kulila inaweza kuwa zaid ya nusu ya deni linaloonekana,? Maana nataka kusafisha slip yng, Nimeuza kiwanja cha biashara nataka niwalipe ndg.