not found 404
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 322
- 177
....ni kulipa deni sahihi.....si kulipa deni la ovyo ovyo......Watakua wameji changanya. Ila subiri wenye ujuzi waje. Kumbuka dawa yadeni nikulipa, hakuna namna
Wandugu hamjambo.
Naombeni msaada wa kimawazo,
Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc,
Toka mwaka 2015,
Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000
Mwezi FEB deni lilikuwa 11,7....... (Figa kama hyo) ila cha kushangaza leo naingia kwenye portal kuchek taarifa z. Mshahara naona 14,8........)
Wakati hard copy ya hati ya mshahara ya Feb inaonyesha 11m,
Je nifanyeje?
Pia Nataka wanipe balance niwalipe .
Naombeni msaada.6.jpg[/IMG]
Msoga inahusikaje hapa?YANI WEWE UNAULIZA MSAADA HAPA, WANA JAMII FORUM HUWA TUNA LOG IN KWENYE SYSTEM YA ABC BANK? SI UENDE, AISEE WASWAHILI WA MSOGA MNA TABU SANA!
Si ndo linalipwa kwe system mkuuWatakua wameji changanya. Ila subiri wenye ujuzi waje. Kumbuka dawa yadeni nikulipa, hakuna namna
Nifundishe ku log inYANI WEWE UNAULIZA MSAADA HAPA, WANA JAMII FORUM HUWA TUNA LOG IN KWENYE SYSTEM YA ABC BANK? SI UENDE, AISEE WASWAHILI WA MSOGA MNA TABU SANA!
Au sijakuelewa. OkYANI WEWE UNAULIZA MSAADA HAPA, WANA JAMII FORUM HUWA TUNA LOG IN KWENYE SYSTEM YA ABC BANK? SI UENDE, AISEE WASWAHILI WA MSOGA MNA TABU SANA!
Nifundishe ku log in
Walipe tu mkuu ABC ni wahuni sana tena Fanya haraka wanaweza kukupiga double!Wandugu hamjambo.
Naombeni msaada wa kimawazo,
Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc,
Toka mwaka 2015,
Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000
Mwezi FEB deni lilikuwa 11,7....... (Figa kama hyo) ila cha kushangaza leo naingia kwenye portal kuchek taarifa z. Mshahara naona 14,8........)
Wakati hard copy ya hati ya mshahara ya Feb inaonyesha 11m,
Je nifanyeje?
Pia Nataka wanipe balance niwalipe .
Naombeni msaada.6.jpg[/IMG]
Mkuu jamii forum inawatu wengi, hapa huwa napataga majibu ya vitu adim sana, love jfNamaanisha, kwa matatizo ya aina hii, someone from the Bank must be involved
Mkuu je nikitaka kulipa watanitaka nilipe kama ilivyo,?Walipe tu mkuu ABC ni wahuni sana tena Fanya haraka wanaweza kukupiga double!
Komaa haraka halafu asilimia yao ya riba inakuaga juu sana.
Tena wamepamdisha.Walipe tu mkuu ABC ni wahuni sana tena Fanya haraka wanaweza kukupiga double!
Komaa haraka halafu asilimia yao ya riba inakuaga juu sana.
Linapungua, kama unayo walipe tu. Mimi walinizidishia makato kienyeji niliwawashia moto wakanirudishia mpunga wangu. Wahuni sana. Unaenda tu ofisini kwao unaulizia balance unalipa, kwisha!Mkuu je nikitaka kulipa watanitaka nilipe kama ilivyo,?
Ukiwalipa watakupigia hesabu yao mpaka sasa lkn kwa riba ya muda utakaokuwa umebaki hawatakuwekea.Mkuu je nikitaka kulipa watanitaka nilipe kama ilivyo,?
Asante mkuu, walinipa mil. 6m kwa 72 months, washakata miezi kama 24, je kam nataka kulila inaweza kuwa zaid ya nusu ya deni linaloonekana,? Maana nataka kusafisha slip yng, Nimeuza kiwanja cha biashara nataka niwalipe ndg.Linapungua, kama unayo walipe tu. Mimi walinizidishia makato kienyeji niliwawashia moto wakanirudishia mpunga wangu. Wahuni sana. Unaenda tu ofisini kwao unaulizia balance unalipa, kwisha!
So mkuu watapigia miez 24 niliokaa na mkopo?Ukiwalipa watakupigia hesabu yao mpaka sasa lkn kwa riba ya muda utakaokuwa umebaki hawatakuwekea.
Watatoa riba ya miezi ya deni iliyobaki, kama Mkuu alivyokueleza hapo juu?!So mkuu watapigia miez 24 niliokaa na mkopo?