Ushauri: Chumbani kwa mke wangu na mchepuko

Mdigokhan

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2022
Posts
990
Reaction score
2,316
Khabari zenu...

Msaada kwenye tuta...ni ivi nimeoa naishi na wife but niko na mchepuko kitambo tu na nashukuru najua kukaficha ka mchepuk0 kangu na kamchepuko nako kanajua kujificha cuz anajua nimeoa so anaheshimu ndoa yangu na ananipenda sana...

So wife now kasafiri atakaa huko mkoa kama miezi 10 au 11...Huyu mchepuko wangu tunakutana mala kwa mala kwakuwa uhuru sasa up0 cuz wife hayup0 jijini...
Luti zangu na mchepuko zimezidi sana gest mpk nahisi namaliza hela zangu(mchepuko anaishi kwa wazazi wake)....

Le0 pia tumepanga kukutana gest tena afu mfukoni sipaelewi naona Garama tu,nimemwambia nimlete kwangu ninap0ishi na wife ili nipige mbususu but watu wanasemaga eti kumleta mwanamke wako wa nje sehemu unayoishi na mkeo sio vizuri eti mwiko...

Nataka kujua sio vizuri kivipi??Kuna nini kinaweza t0kea?nataka kuujua huo mwiko ni upi??mchepuko kakubali fresh tu (Nimepanga nyumba nzima naishi mwenyewe)

Embu nijuzeni huo ubaya wake?Na sio kwamba ataishi nop but nakula mbususu anasepa zake....
 
So wife now kasafiri atakaa huko mkoa kama miezi 10 au 11...Huyu mchepuko wangu tukakutama mala kwa mala kwakuwa uhuru sasa up0 cuz wife hayup0 jijini...
Luti zangu na mchepuko zimezidi sana gest mpk nahisi namaliza hela zangu(mchepuko anaishi kwa wazazi wake)....

Le0 pia tumepanga kukutana gest tena afu mfukoni sipaelewi naona Garama tu,nimewaza nimlete kwangu ninap0ishi na wife ili nipige mbususu but watu wanasemaga kumleta mwanamke wako wa nje sehemu unayoishi na mkeo sio vizuri eti mwiko...

Nataka kujua sio vizuri kivipi??Kuna nini kinaweza t0kea?mchepuko kakubali fresh tu (Nimepanga nyumba nzima naishi mwenyewe)

Embu nijuzeni huo ubaya wake?Na sio kwamba ataishi nop but nakula mbususu anasepa zake....
typing.........
 
Kama ndani ni mwiko muingize chooni au hata nyuma ya nyumba au stoo
 
Ukianza kumuingiza leo utataka siku kumuingiza mkeo akiwa kaenda sokoni. Kijana ebu kua.

Kama huna pesa ya kwenda gesti kwani lazima nyege zicontrol maisha yako. Tabu kweli
 
Sio vema Kuna wengine hutumia nafasi hiyo kupandikiza nguvu za Giza nyumbani na kusababisha mtafaruku na mwisho mtaachana Ili ye aolewe.

Kama huna hela muende Kwenye pagale la mama Suzy pale ameezeka bado kuhamia TU.
 
Hakuna shida yoyote aje tu chapa kisha asepe utakuwa umeokoa hela nyiingi za lodge
 
Khabari zenu...
Msaada kwenye tuta...ni ivi nimeoa naishi na wife but niko na mchepuko kitambo tu na nashukuru najua kukaficha ka mchepuk0 kangu na kamchepuko nako kanajua kujificha cuz anajua nimeoa so anaheshimu ndoa yangu na ananipenda sana...

So wife now kasafiri atakaa huko mkoa kama miezi 10 au 11...Huyu mchepuko wangu tunakutana mala kwa mala kwakuwa uhuru sasa up0 cuz wife hayup0 jijini...
Luti zangu na mchepuko zimezidi sana gest mpk nahisi namaliza hela zangu(mchepuko anaishi kwa wazazi wake)....

Le0 pia tumepanga kukutana gest tena afu mfukoni sipaelewi naona Garama tu,nimemwambia nimlete kwangu ninap0ishi na wife ili nipige mbususu but watu wanasemaga eti kumleta mwanamke wako wa nje sehemu unayoishi na mkeo sio vizuri eti mwiko...

Nataka kujua sio vizuri kivipi??Kuna nini kinaweza t0kea?nataka kuujua huo mwiko ni upi??mchepuko kakubali fresh tu (Nimepanga nyumba nzima naishi mwenyewe)

Embu nijuzeni huo ubaya wake?Na sio kwamba ataishi nop but nakula mbususu anasepa zake....
Kumsaliti Mkeo ni kosa na unalifahamu hilo, vilevile kumuingiza Mchepuko ndani ya Nyumba ya Familia ni udhaifu wa hali ya juu sana ikiwa Dini inaruhusu halalisha tu. Pia Jiulize haya maswali;
1. Unafikiri huyo Mchepuko hataki kuwa na wewe huishi nae kama unavyoishi na Mkeo?
2. Akisha ingia hapo leo, kesho atakuja kupika kufanya usafi hata muda mwingine pasipo wewe kuwepo ataanza kuacha nguo zake hapo kwako utaweza kumzuia?
3. Atapafahamu kwako kila kuna, siku ukilizua hashindwi kufanya Umafia wowote aidha kwenye Nyumba, Mkeo hata watoto wako Je, utamzuia?
NB; Ushauri si Amri
 
We ingiza tu,siku ukikuta na ww lijamaa nimeingizwa usije kupga kelele hapa..
 
Mwandiko tu unaelezea ubongo umefunikwa na kifuu na sio fuvu...
 
Khabari zenu...
Msaada kwenye tuta...ni ivi nimeoa naishi na wife but niko na mchepuko kitambo tu na nashukuru najua kukaficha ka mchepuk0 kangu na kamchepuko nako kanajua kujificha cuz anajua nimeoa so anaheshimu ndoa yangu na ananipenda sana...

So wife now kasafiri atakaa huko mkoa kama miezi 10 au 11...Huyu mchepuko wangu tunakutana mala kwa mala kwakuwa uhuru sasa up0 cuz wife hayup0 jijini...
Luti zangu na mchepuko zimezidi sana gest mpk nahisi namaliza hela zangu(mchepuko anaishi kwa wazazi wake)....

Le0 pia tumepanga kukutana gest tena afu mfukoni sipaelewi naona Garama tu,nimemwambia nimlete kwangu ninap0ishi na wife ili nipige mbususu but watu wanasemaga eti kumleta mwanamke wako wa nje sehemu unayoishi na mkeo sio vizuri eti mwiko...

Nataka kujua sio vizuri kivipi??Kuna nini kinaweza t0kea?nataka kuujua huo mwiko ni upi??mchepuko kakubali fresh tu (Nimepanga nyumba nzima naishi mwenyewe)

Embu nijuzeni huo ubaya wake?Na sio kwamba ataishi nop but nakula mbususu anasepa zake....
Mala kwa mala = Mara kwa Mara
Luti = Route
0 = O
Tafuta pesa, acha utoto. Halafu jifunze kuandika
 
.... jiambie unamleta kwa ajili ya kuja kukusaidia usafi na akifika afanye kweli usafi nyumba nzima, mbususu itakuwa ni ajali kazini.
 
Back
Top Bottom