Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 13,046
- 32,685
Tunasubiri Uzi wa "Mke wang anatak tuachane "
Af tutajua kimada wako anajuaje kujificha 😂
Af tutajua kimada wako anajuaje kujificha 😂
Unataka kumwambiajeNod nyie tukisikia ajari mnakuwa mmekufa wengine wamebaki
Huna ndoa wewe na kama kweli una ndoa basi huna akili maana hata uandishi unaonyesha level yako ya uelewa wa mamboKhabari zenu...
Msaada kwenye tuta...ni ivi nimeoa naishi na wife but niko na mchepuko kitambo tu na nashukuru najua kukaficha ka mchepuk0 kangu na kamchepuko nako kanajua kujificha cuz anajua nimeoa so anaheshimu ndoa yangu na ananipenda sana...
So wife now kasafiri atakaa huko mkoa kama miezi 10 au 11...Huyu mchepuko wangu tunakutana mala kwa mala kwakuwa uhuru sasa up0 cuz wife hayup0 jijini...
Luti zangu na mchepuko zimezidi sana gest mpk nahisi namaliza hela zangu(mchepuko anaishi kwa wazazi wake)....
Le0 pia tumepanga kukutana gest tena afu mfukoni sipaelewi naona Garama tu,nimemwambia nimlete kwangu ninap0ishi na wife ili nipige mbususu but watu wanasemaga eti kumleta mwanamke wako wa nje sehemu unayoishi na mkeo sio vizuri eti mwiko...
Nataka kujua sio vizuri kivipi??Kuna nini kinaweza t0kea?nataka kuujua huo mwiko ni upi??mchepuko kakubali fresh tu (Nimepanga nyumba nzima naishi mwenyewe)
Embu nijuzeni huo ubaya wake?Na sio kwamba ataishi nop but nakula mbususu anasepa zake....
Ahahaaaa umenichekesha sana!Nod nyie tukisikia ajari mnakuwa mmekufa wengine wamebaki
Kama ina vyumba vingine kwann msifanyie kwenye vyumba hvyoWapi nimesema ina chumba kimoja mkuu?