Shigganza
Senior Member
- May 24, 2018
- 160
- 412
Wakati Chadema kinaendelea na uchaguzi wa Ndani wa viongozi wa kitaifa, asilimia kubwa ya walioshinda katika nafasi za uenyekiti wa kanda wanakofia mbili ya ubunge na hiyo ya wenyekiti.
Naona faida nyingi kwa Chama hicho kikibadili kanuni za uchaguzi kwa kuweka kipengele kitakachozuia mwanachama mwenye nafasi nyingine Kama Ubunge, kugombea nafasi za uongozi wa Ndani wa kitaifa hasa uenyekiti wa Kanda na jumuiya za Chama.
Baadhi ya faida hizo ni kutoa fursa kwa wanachama wengine wenye uwezo wa uongozi kuhudumia Chama na hivyo kuwaweka tayari kwa ajili kugombea kwenye nafasi zingine za kisiasa hasa Ubunge.
Faida nyingine ni kuleta mazingira sawa ya ushindani katika chaguzi za Ndani, kwa Mazingira ya sasa pasipo hujuma ni vigumu mno kwa mwanachama wa kawaida wa kumshinda Mgombea mwenye madaraka mengine Kama Mbunge.
Mwisho kuondoa dhana ya kwamba Chama hicho ni Mali ya watu wachache. Ni rahisi sana kwa sasa ukosema Chadema ni Mali ya MBOWE na kikundi chake cha akina Msigwa, Lema,