Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 315
Ikiwi idadi kamili ya wabunge wa Chadema bado kukamilika, lakini kwa hesabu cha chap-chap na kutokana na mishahara ya wabunge, Chadema itategemea kutengeneza around 2mil Tsh per day!
Ingekuwa busara na wananchi wangefurahi kuona kama sehemu ya pesa hii inatumika katika kuanzisha mfuko wa kulinda kura. Kusudi kuu laweza kuwa kuhakikisha Chadema inapata mwakilishi huru mmoja katika kila kituo cha kupiga kura ifikapo mwaka 2015! Hii itasaidia katika kuhakiki idadi ya kura za ubunge na urais, na kwa asilimia kubwa kuzuia uchakachuaji!
Nadhani wakianza huu mchakato wenyewe, watajenga imani kubwa kwa wananchi, na hata kuwa rahisi huko mbeleni kupata michango kutoka kwetu na hata mashirika ya nje!