Ushauri: Bustani ya Miti ya Matunda katika Nyumba

Halafu wakati naenda ku edit list.
Ningependa kwanza pia kujua,maana kumbe mimeo nayo inatongozana hadi iwe na jike na dume?

Maana kuna ushauri wa bitimkongwe

Je nikipanda mti mmoja hautaweza kuzaa hadi nichanganye na angalau aina moja ya mti dume kwa upevushaji?

Ndiyo kuna aina ya miti jike na dume peke yake, haikuchanganyika. Ndiyo maana unashauriwa upande mitatu ili kupata uwezekano wa kuwa na mmoja wao dume/jike. Ukipanda mmoja peke yake hautazaa.

Hata mipapai inayo tabia hiyo, jike na dume tafauti.
 
Aisee hii kali
ndio maana kuna mipapa miwili hapa kwa jirani yngu yaani haizai inakuwa mirefu tu kwa kutamani mwenza.
itabidi niijua ni miti gani ili hapo juu niongeze idadi kutoka mmoja ua miwili kwenda kwenye mitatu,maana unakaa miaka mitatu halafu mti hauzai aisee
 
Ongeza na migomba miwili ya ndizi sukari...mimi ninayo hii ndizi zake zinapendwa sana.
 
nature ya ardhi ya hapo ulipo inahimili hixo sample ulizoorodhesha.? Udongo na virutubisho vilivyomo ndio huamua mmea upi ustawishwe hapo,
 
nature ya ardhi ya hapo ulipo inahimili hixo sample ulizoorodhesha.? Udongo na virutubisho vilivyomo ndio huamua mmea upi ustawishwe hapo,
Nakubali ila pia inawezekana ardhi ikawaha haikubali kisha ukahamisha udongo wa zao husika kutoka sehem moja kwenda nyingine.Hili pia nimelifikiria na lipo.Najua yote hayatakubali ila plan B ni kuhamisha udongo
 
Mrejesho kwa hatua ya awali.
Nimejikita Chanika,nimo kwenye hatua za awali za kuweka sawa paper works za umiliki.
Nimechukua heka 5

Matumizi ya eneo na maeneo ya interior huky ni shamba,ila miaka iendayo itabadilika,ila mbali sana kutoea stand ya mwisho kuelekea njia ya Nzasa then unachoma ndani km za kutosha bodaboda.
Lengo ni kwamba kufanya makazi,ili in 10 years yo come iwe ni makazi ya kudum.
Sasa kuna mtaalam mmoja akanishauri kwamba kwa ninachotaka kufanya inabidi niwe na acres si chini ya mbili ili niwe comfortable na ku enjoy my Residential Fruits Palace,ili kila anaekuja kutembea basi anafurahi kuwa hapo na kuondoka na zawadi.

Nitawapeni more update,maana nimeambiwa natakiwa nichimbe kisima kwanza,then nitegee msimu wa mvua za masika au vuli.Pia ameniambia kuna baadhi ya matunda ni changamoto kutokana na ardhi,ila ameniambia kwamba dunia iMebadilika,udongo kwa mimea michache unahamishika,na muda mfupi ardhi ya sehem husika inakubali.

Tuendelee kuombeana,
 
Kiongozi Asante kwa mrejesho wako. Mm nimeipenda n ninaicopy kwenda nayo katika shamba langu lililoko BAGAMOYO,FUKAYOSI ambalo nami nina plan kama yako lakini kwngu nitaweka makazi baada y miaka 3 tu.makazi y kuenda siku z wkend na sikukuu kupumzika n ndugu n jamaa. Ni heka chache tu kama 2 hv. Nimesafisha moja heka kwnza kwajili y kitu kama hii.nimepata kuvutiwa n mawazo kama haya. Sasa ni Wakati wa vitendo. Eeh mungu naomba uwezeshe ndoto yangu hii kutimia. Amen.
HII NI SEHEMU YA SHAMBA LENYEWE.
a1c7b7a895b606e44ff4451f8a9d5981.jpg
37d81b146294658cd688d253824128b8.jpg

SEMA MM NITAONGEZA NA MBUZI WA KUZAA MAPACHA KAMA KITOWEO TU.
 
Hii ni idea nzuri. Nina bustani nyumbani kwangu ambayo naona inanigharimu kumwagilia lakini bustani yenyewe di matunda. Nahisi nikipanda matunda itakuwa ya manufaa.
 
Nice idea. Ngoja niibe namimi

Sent from my P40 using JamiiForums mobile app
 
Asante Kingmairo.
Zambarau ni Idea nzuri pia,nimeongezea pale mkuu,ila Zabibu inashida kidogo kwenye kuchukua eneo la utambaaji na uangalizi wa karibu.Mazao niliyo plan ni yale ambayo hayachukui muda saana kwa mutu kufanya uangalizi.Ila nitategemea ideas nyingine namna ya upandaji wake,kama linaweza kifit kutambazwa na miti mingine.
Ila Zambarau nimekubali nimeliweka kaka.
Halafu lazima niweke na First Aid kit,maana mizambarau naiju,ilituvunja sana watu miguu aisee.
Yaani unapanda kwenye mti,kila ukijongea unaona unakaribia kushika zambarau mara mti kwaaa,chini.Hahaha

Angalia hawa hapa chini kwa utam wa Zambarau wameona wapande juu ya lorry aisee
attachment.php
Hahahahaa zambarau nomaaa sanaaaa
 
Kiongozi Asante kwa mrejesho wako. Mm nimeipenda n ninaicopy kwenda nayo katika shamba langu lililoko BAGAMOYO,FUKAYOSI ambalo nami nina plan kama yako lakini kwngu nitaweka makazi baada y miaka 3 tu.makazi y kuenda siku z wkend na sikukuu kupumzika n ndugu n jamaa. Ni heka chache tu kama 2 hv. Nimesafisha moja heka kwnza kwajili y kitu kama hii.nimepata kuvutiwa n mawazo kama haya. Sasa ni Wakati wa vitendo. Eeh mungu naomba uwezeshe ndoto yangu hii kutimia. Amen.
HII NI SEHEMU YA SHAMBA LENYEWE.
a1c7b7a895b606e44ff4451f8a9d5981.jpg
37d81b146294658cd688d253824128b8.jpg

SEMA MM NITAONGEZA NA MBUZI WA KUZAA MAPACHA KAMA KITOWEO TU.
Safi mkuu,Ukubwa huo unatosha,vipi bei ya Mashamba huko ipoje
Warusha mishale hakuna huko?
 
Uzuri Ni kwamba mbali na kupendezesha eneo lakini pia ni mbinu nzuri ya kutunza mazingira..
 
Back
Top Bottom