bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,362
- 6,818
Halafu wakati naenda ku edit list.
Ningependa kwanza pia kujua,maana kumbe mimeo nayo inatongozana hadi iwe na jike na dume?
Maana kuna ushauri wa bitimkongwe
Je nikipanda mti mmoja hautaweza kuzaa hadi nichanganye na angalau aina moja ya mti dume kwa upevushaji?
Ndiyo kuna aina ya miti jike na dume peke yake, haikuchanganyika. Ndiyo maana unashauriwa upande mitatu ili kupata uwezekano wa kuwa na mmoja wao dume/jike. Ukipanda mmoja peke yake hautazaa.
Hata mipapai inayo tabia hiyo, jike na dume tafauti.