jifunze kutumia mpesa mkuu. unapotaka kujiunga asubuhi, unavuta vocha ya mia saba via mpesa.. becoz hawa voda ni wahuni, ila sio kama unavyodhani.. what they do ni kuwa as long as una vocha kwenye line yako, hawakushtui kuwa umemaliza bundle yako. ni mpaka vocha ikate yote. ukiweka hata buku kumi, watailamba yote then ndo wakuambie bundle imekata. tangu nigundue hilo nimehamia vocha za mpesa 100% as wana ofa nyingi nzuri lakini ndo hivyo na kulamba vocha za watu
Asante leh;5619700. Umenielewesha vizuri sasa nshajua jinsi ya kukwepa uhuni wao!
Leo voda wako vizuri!
Hata tuliomadongo kuinama tunapata reception nzuri, sio bar 1 na 2 tu. Leo reception ya uhakika tena wala haikatikikatiki. Nafikiri wapo kwenye maboresho, kwani nimepewe siku 7 free za kutumia internet. Angalao walipie siku nilizokuwa napata taabu ya reception.
Basi unajua, wewe umefanya haraka kuweka vocha. Nafikiri ukiweka vocha wanalamba kama kawaida, mimi bundle yangu imeisha leo ila nikangoja mpaka ikate. Badala ya kukata ndio nikaona ofa yao, na kama unavyoona bado nadunda. Labda kama haitafika siku 7, ngoja nione.Hapo uongo pia nimepata msg hiyo ila kukatwa vocha kama kawa mwana nimeshanunua mara mbili bundle za 700 pamoja na hiyo msg yao.
mdau hebu nielekeze fresh kuhusu ununuzi wa m-pesajifunze kutumia mpesa mkuu. Unapotaka kujiunga asubuhi, unavuta vocha ya mia saba via mpesa.. Becoz hawa voda ni wahuni, ila sio kama unavyodhani.. What they do ni kuwa as long as una vocha kwenye line yako, hawakushtui kuwa umemaliza bundle yako. Ni mpaka vocha ikate yote. Ukiweka hata buku kumi, watailamba yote then ndo wakuambie bundle imekata. Tangu nigundue hilo nimehamia vocha za mpesa 100% as wana ofa nyingi nzuri lakini ndo hivyo na kulamba vocha za watu
VODA WANACHAKACHUA SANA,WE FIKIRIA UNANUNUA YA WIKI,NA WALA HAUDOWLOAD ILA UNATUMIA SIKU 2,MXIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII:shut-mouth::angry:,,,,Hapo uongo pia nimepata msg hiyo ila kukatwa vocha kama kawa mwana nimeshanunua mara mbili bundle za 700 pamoja na hiyo msg yao.
VODA WANACHAKACHUA SANA,WE FIKIRIA UNANUNUA YA WIKI,NA WALA HAUDOWLOAD ILA UNATUMIA SIKU 2,MXIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII:shut-mouth::angry:,,,,
mdau hebu nielekeze fresh kuhusu ununuzi wa m-pesa