KISUNZU YP
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 117
- 41
Poleni na majukumu ya hapa na pale JAMANI mdogo wangu amechaguliwa kozi hyo ya Human Nutrition ila yeye roho haitaki kabisa na kachaguliwa SUA kozi hyo na ni chuo hicho hicho tu hajachaguliwa kozi nyingine chuo chochote ana One ya 9 masomo CBG sasa JE! Akancel post ili aombe tena na je atapata?
Soko lake liko vipi jamani maana yeye anasema bora ingekuwa FOOD SCIENCE. KARIBUNI KWA USHAURI
Soko lake liko vipi jamani maana yeye anasema bora ingekuwa FOOD SCIENCE. KARIBUNI KWA USHAURI