Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,862
- 1,471
Nenda shule huku unasubiri majibu ya nafasi uliyoomba na kuhusu shule jaribu kuangalia Kama unaweza kubadilishiwa mchepuo ingawa hesabu utakutana nayo tena
Ukimaliza vyema clinical officer una fursa pana Ukimaliza advance bado una safari ndefu
Niliishia form four nikasoma diploma ya afya wale walio kuwa wakinicheka those tym wanaendelea kupigika na arts zao bado wako vyuoni