kwondeboy Member Joined Dec 28, 2018 Posts 12 Reaction score 12 Jun 13, 2020 #1 Rejea kichwa cha habari hapo juu. Wakuu naomba tufahamishane benk yenye ac ambayo ukiweka hela baada ya muda Fulani wanakuongezea kiasi.
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Wakuu naomba tufahamishane benk yenye ac ambayo ukiweka hela baada ya muda Fulani wanakuongezea kiasi.
F fiasco Member Joined Mar 3, 2018 Posts 55 Reaction score 20 Jun 13, 2020 #2 DCB bank wanatoa fixed yenye riba hadi 14%