binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 959
Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi
yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na
Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni
kuongoza Ligi.
Tabia za kulala kama unasubiri Sakramenti
haitakupa chochote...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana
kupiga ramli,Manage your bed, vingine ni
Secondary.Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex
nawapa pole, Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza
testi...Bed is everything!
unaweza zungusha nyonga kama pangaboi na bado ukaachwa ..nyooo