Daini urithi.......
Yes njia pekee ni ku hustle,, kama yuko hai huna haki ya kudai urithi.Waanze kutafuta vyao..., urithi washaambiwa unaenda kwa bi mdogo!
TINDIX, kama umeshafikia umri wa kujitegemea anza ku-hustle uwe na vyako achana na mawazo ya kusubiria toka kwa baba! Kingine, endelea tu kumuheshimu mshua wako hata kama ni mkali na anatoa kauli za kukera.
Daini urithi.......
Kabla ya hapo inabidi wamrestishe in pisi