WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Wife immaterial
Anataka ndoa lakini anakibamia nawaza kweli niingie kwenye hii ndoa. Naombeni mawazo yenu

Ameshakuonja tayari?Anataka ndoa lakini anakibamia nawaza kweli niingie kwenye hii ndoa. Naombeni mawazo yenu
Mbavu sinaNa wewe umezidi kuwanalo kubwa.
Yawezekana sijui nini maana ya ndoa..Ndoa sio jambo la kuchezea kama unaona hicho kidudu chake hakikutosherezi mchane tu ukweli ili naye atafute mwingine wewe endelea kusubiri mwenye hilo kubwa litakalo kutoshereza.
Marriage is beyond love and Sex...husijibu now...olewa kwanza na mtu mwenye sifa unazo taka baada ya miaka 3 ya ndoa ndo unijibu.Anataka ndoa lakini anakibamia nawaza kweli niingie kwenye hii ndoa. Naombeni mawazo yenu
Utoto unakusumbua ........grow and get maturity.Anataka ndoa lakini anakibamia nawaza kweli niingie kwenye hii ndoa. Naombeni mawazo yenu
HhahhhhhahhhhhhhaaaaaaaaKabla sijakushauri naomba kujua umedumu kwa muda gani na Mr kibamia?
