Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Kama heading inavyojieleza ndugu zangu niko na mchumba hapa ambae naweza nikasema ni kama mke wangu mtarajiwa ,
Kiukweli sina muda mrefu nae sana tangu nianze kuishi nae pamoja kama mume na mke ni japo sisi ni Wachumba kama Miezi mitatu hivi sasa.
Tangu ile siku ya kwanza anakuja kukaa na mimi basi kila siku Usiku lazima tufanye lile tendo pendwa tendo la ndoa japo kwa tusio wanandoa tunasema kuzini isipokuwa kwa zile siku ambazo yuko period tu.
Tatizo limekuja kwamba leo huyu mpenzi anataka kunilaza mzungu wa Nne eti kisa anasema kila siku nampimia hivyo amechoka kufanya kila siku.
Binafsi siafiki kauli yake japo nipo nae anangangania kwamba lazima leo nilale Mzungu wa nne .
Sasa Ndugu Naombeni Ushauri nifanye nini ili Leo nisilale mzungu wa Nne maana hapa yupo kachachamaa kweli kweli na mi nipo hapo nataka nifanye nipige cha kulalia maana bila hivyo sijui kama nitaweza kupata Usingizi ukizingatia niko na mpenzi pembeni.
Ushauri wenu Tafadhari.