Ushauri: Anataka amuoe mpenzi wake wa zamani

Ushauri: Anataka amuoe mpenzi wake wa zamani

Mmmmmh! Kama story yako vile Single mother.halafu kukuambia hawakuwa wamefunga ndoa , hiyo ni kuingizwa kingi!
Huyo jamaa atulie aache papara , ndoa ishamshinda sasa ana harakia nini kutaka kukimbilia kuoa? Mshauri aendelee kuwachapa nao, kuweka mwanamke ndani ni stress tupu.
 
Last edited by a moderator:

mkuu if it was my story ningeweka hapa bayana nipate ushauri sahihi misipo stage hizo wangu usidanganyike na id ,

asante kwa maoni yako
 
Last edited by a moderator:
Naomba nizungumze katika angle ya kiimani zaidi,kama ID yako unayotumia inahakisi ukwel na ukijumlisha habar ya kaka yako nachelea kusema kuwa tatizo lake ni roho iliyopo ndani ya damu zenu(ukoo/familia)..ni muhimu mkakata hiyo chain kabla hajachukua hatua nyingine...
 
Back
Top Bottom