Nakazia, afate ushauri huu.Huyo dogo mbona kama ni wewe??
Elfu 40 kwako ni asilimia ngapi ya kipato chako cha mwezi?
Kama mshahara wako Kwa mwezi au kipato chako Kwa mwezi hakizidi laki nne ...usimpe kabisa hiyo hela ..
Hata kama akikupa mapenzi mpe hela kulingana na uwezo wako...
But kama Una kipato kikubwa kidogo
Mfano unaingiza elfu 50 kila siku..
Unaweza kumpa kibinadamu Tu...wala sio lazima akulipe mapenzi...akirudisha poa ..asiporudisha poa....unaachana nae
Ulivyoandika ushauri wa haraka unaohitajika, nikajua unataka kujiua.Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije Moja Kwa Moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi.
Kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei kabisa simu.
Sasa juzi huyu Dem kampigia simu na kutaka jamaa(dogo) amsaidie Tsh 40,000/- kwamba atailudisha baada ya wiki Moja hivi. Dogo amemwambia aende geto Ili akampe hiyo pesa lakini anachomoa akidai kumsaidia sio lazima afike geto.
Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto, manzi bado anazungusha Ili hali bado anashida na pesa.
Mimi ndie niliyemshauri kwamba amwam ie aje achukulie hiyo pesa geni lakini demu amechomoa akidai amtumie au wakutane barabarani Ili ampe hiyo pesa. Naamini humu kuna wajuzi wa hizi ishu ebo tumpe ushauri dogo
Huyo demu anamchuna dogo hamkubali wala nn in short demu aje achukue pesa ghetto la sivyo dogo kaliwa huyoWakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije Moja Kwa Moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi.
Kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei kabisa simu.
Sasa juzi huyu Dem kampigia simu na kutaka jamaa(dogo) amsaidie Tsh 40,000/- kwamba atailudisha baada ya wiki Moja hivi. Dogo amemwambia aende geto Ili akampe hiyo pesa lakini anachomoa akidai kumsaidia sio lazima afike geto.
Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto, manzi bado anazungusha Ili hali bado anashida na pesa.
Mimi ndie niliyemshauri kwamba amwam ie aje achukulie hiyo pesa geni lakini demu amechomoa akidai amtumie au wakutane barabarani Ili ampe hiyo pesa. Naamini humu kuna wajuzi wa hizi ishu ebo tumpe ushauri dogo
Wala mwenye kuomba ushauri sio dogo, ni mleta mada mwenyewe, sema anatumia kivuli cha dogo 😅Huyo demu anamchuna dogo hamkubali wala nn in short demu aje achukue pesa ghetto la sivyo dogo kaliwa huyo
Ni akili ndogo tu hiyo
Kivyovyote vile message sentWala mwenye kuomba ushauri sio dogo, ni mleta mada mwenyewe, sema anatumia kivuli cha dogo 😅
Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto
Wewe na huyo dogo hamjitambui.Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei kabisa simu.
Sasa juzi huyu msichana kampigia simu na kutaka jamaa (dogo) amsaidie Tsh 40,000/- kwamba atairudisha baada ya wiki moja hivi. Dogo amemwambia aende geto Ili akampe hiyo pesa lakini anachomoa akidai kumsaidia siyo lazima afike geto.
Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto, manzi bado anazungusha ili hali bado anashida na pesa.
Mimi ndie niliyemshauri kwamba amwambie aje achukulie hiyo pesa geto lakini demu amechomoa akidai amtumie au wakutane barabarani ili ampe hiyo pesa. Naamini humu kuna wajuzi wa hizi ishu, ebo tumpe ushauri dogo.